Iko wapi CHADEMA jeuri ya Dr.Slaa iko wapi BAVICHA tukutu ya John Heche

Hata ikiwa hivyo, bado hujajibu hoja. Chadema ya Dr. Slaa Na chadema ya Dr. Mashinji ziko sawa? Bavicha ya Heche Na bavicha ya Patrobas ziko sawa?

Tena ya Mshinji ni zaidi.Kiongozi mzuri ni yule asiye nabei mwenye bei akafie CANADA kwetu hana maana kabisa kabisa.Kama mnamuhitaji mchukueni kama mlivyomchukua Lipumba
 
kijana wa mashinji buana
Mkuu usibishane nao,mradi wao wa Tshirt za pray for Lissu umebuma,walijua watakuja vijana hata 200 wakaprint nyingi nyingi,zikanunuliwa tatu tu na waliozinunua wakatiwa kizuizini,sasa leo wanawaza Tshirt tu.
 
Zama za Jk vs Slaa n tofaut sana na zama za JPM vs Mashinji
 
Mkuu usibishane nao,mradi wao wa Tshirt za pray for Lissu umebuma,walijua watakuja vijana hata 200 wakaprint nyingi nyingi,zikanunuliwa tatu tu na waliozinunua wakatiwa kizuizini,sasa leo wanawaza Tshirt tu.
hahaaa wana hasira wamekura loss
 
Watanzania mlichagua kuwa waropokaji kwa jina zuri la siasa na sasa mnatapatapa. Kazi mnayo
 
Alijua na walijua yupo upande gani toka enzi ndo Maana alikua akifanikiwa .......
Katafute Hela ulishe familia usitikise hali zetu ....kita wakati na mbinu take dawa ya moto ni moto
 
m

moto upi wa kuzungusha mikono na kudeki lami?
 
Tena ya Mshinji ni zaidi.Kiongozi mzuri ni yule asiye nabei mwenye bei akafie CANADA kwetu hana maana kabisa kabisa.Kama mnamuhitaji mchukueni kama mlivyomchukua Lipumba
Kwenu kila mtu asiyekubaliana na nyie ni amefika bei yan mtu yeyote atakae endana tofauti na Mbowe huyo kanunuliwa khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…