Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,255
Habari wanajamii,
Mwenzenu nna jambo lanitatiza. Mwaka 2015, kulikua na taasisi au sijui niite chama kilichokuwa kinaitwa 4U Movement-Friends of Lowassa.
Group hii ilikua ikijipendekeza sana kwa Edward Lowassa waziri mkuu wa zamani na kumsapot katika harakati zake. Lakini sijapatapo kuisikia tena 4U mvt since then.
Kumbukumbu zaniambia 4U mvt ilikuwepo tangu Lowassa akiwa CCM. Sasa nauliza, Je lowassa alivyohamia CHADEMA walimfuata? Na iko wapi 4U mvt? Mbona siisikii tena.? Lowassa bado yupo but where are his friends?