Iko tofauti Kati ya Kijana aliyelelewa na CCM na Kijana aliyelelewa na baba yake ndani ya CCM, Makonda na Kihongosi wamelelewa na CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Watu waliolelewa na CCM direct hushiba itikadi ya Chama lakini wale waliolelewa na Wazazi Wao ndani ya CCM hurithi maono ya Wazazi Wao

Wengi wanamtazama Makonda kwa namna wanavyopenda kumtazama lakini nawahakikishia hata Nyerere aliwapenda Vijana aina ya Makonda na Kihongosi

Vijana wenye damu ya Chama

Mungu wa mbinguni awabariki 😀
 
Mie nilianza kuichukia ccm kwa kuchikia watu aina ya makonda,kumbe nilikuwa ninajidanganya,ni suala la mda tu.kwa sasa mama kanikosha moyo wangu.na ccm itashinda kwa kishindo.
 
Mie nilianza kuichukia ccm kwa kuchikia watu aina ya makonda,kumbe nilikuwa ninajidanganya,ni suala la mda tu.kwa sasa mama kanikosha moyo wangu.na ccm itashinda kwa kishindo.
Sio kwa kura, labda kwa udhaifu wa katiba hii. Kwenye ushindani wa haki ccm kushinda kihalali imeshashindikana.
 
Watu waliolelewa na CCM direct hushiba itikadi ya Chama lakini wale waliolelewa na Wazazi Wao ndani ya CCM hurithi maono ya Wazazi Wao

Wengi wanamtazama Makonda kwa namna wanavyopenda kumtazama lakini nawahakikishia hata Nyerere aliwapenda Vijana aina ya Makonda na Kihongosi

Vijana wenye damu ya Chama

Mungu wa mbinguni awabariki
Alafu watu wana-underrate cheo cha Katibu Mwenezi,wanadhani ni sawa na Afisa habari wa Yanga au Simba.
Katibu Mwenezi ndiyo msimamizi wa sera na itikadi ya chama pia ndiye msimamizi wa uaandaaji na utekelezaji wa sera,programu na Ilani ya chama nk.

Ni mjumbe wa Kamati kuu na NEC ya CCM,kuna watu wanabwabwaja kujifanya wana-CCM kindaki ilihali ata ujumbe wa shina wa chama hawajawai kuwa!!
 
Back
Top Bottom