Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK
Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema
Kaondoka Prof Kitila Mkumbo
Kaondoka Mzee Wasira

Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya Chadema baada ya kustuka na kujitambua.
Sasa wewe mwenzangu usie na mbele wala nyuma bado unang'ang'ania tuu popooz kama vile una hisa huko?

Kama Mbowe aliweza kuwasaliti wote hapo juu ambao ndio waliokijenga chama, wewe ni nani akuone wa maana zaidi ya kukutumia?

Kijana mwenzangu shituka! Usikubali kufanywa ---- na wajanja wachache.

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI LOWASSA, MBOWE NA VIBARAKA WAO.

TUMUUNGE MKONO MAGUFULI KUKOMESHA MAFISADI NA KULETA KUJENGA TANZANIA MPYA YA WOTE.

Hakuna watu wanaoitwa CCM au UKAWA , bali kuna watu wanaitwa WATANZANIA.

MAGUFULI ATAKUA RAIS WA TANZANIA KWA AJILI YETU NA KWA AJILI YA WOTE KWA MAENDELEO YA WATANZANIA

Mkuu hao watashtuka MAGUFURI akiwa anaapishwa!wallah watu hawataamini macho na masikio yao hiyo siku ikifika!!!!nawaambia tu wana Chadema mujiandae kisaikolojia jamani!
Sura ya Magufuri ukiiangalia wala haina dalili ya kushindwa!wala hajawaza kushindwa,anajua kabisa kwamba yeye ni PRESIDENT ajae!
Poleni sana wanaUKAWA!
 
Katika wote uliowataja ni mmoja tu ndiye karudi ccm lakini wengine wote wameenda vyama vingine au hawana vyama, tofauti na walioondoka ccm kuja chadema in wengi mpaka mawaziri, mawaziri wakuu, wenyeviti wa ccm wa mikoa n.k.
 
Mkuu una akili sana, huyo ----- haelewi
 
ukiwa na iq ndogo hutaelewa ukubwa wa nguvu ya ukawa na sababu zake.

wanafikiria kucha na kuzisimamia ndio wabisshi, waliondika cdm wangekuwa wapuuz wengejiunga Ccm. lkn Ccm iko mahututi
 
CHADEMA iliwapa popularity Kabouru, Zitto, Arfi,Slaa na wengine wengine wengi watabaki chama kitabaki imara kwasababu misingi ya CHADEMA ni wananchi.
 
Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK
Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema
Kaondoka Prof Kitila Mkumbo
Kaondoka Mzee Wasira

Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya Chadema baada ya kustuka na kujitambua.
Sasa wewe mwenzangu usie na mbele wala nyuma bado unang'ang'ania tuu popooz kama vile una hisa huko?

Kama Mbowe aliweza kuwasaliti wote hapo juu ambao ndio waliokijenga chama, wewe ni nani akuone wa maana zaidi ya kukutumia?

Kijana mwenzangu shituka! Usikubali kufanywa ---- na wajanja wachache.

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI LOWASSA, MBOWE NA VIBARAKA WAO.

TUMUUNGE MKONO MAGUFULI KUKOMESHA MAFISADI NA KULETA KUJENGA TANZANIA MPYA YA WOTE.

Hakuna watu wanaoitwa CCM au UKAWA , bali kuna watu wanaitwa WATANZANIA.

MAGUFULI ATAKUA RAIS WA TANZANIA KWA AJILI YETU NA KWA AJILI YA WOTE KWA MAENDELEO YA WATANZANIA

Acheni upuuzi
 
Jinga kabisa. mtu mjinga ka wewe sijui ulikua unatafuta nini upinzani. nyie kula kulala vichwa maji huwa ni watu wa ccm.
 
Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK
Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema
Kaondoka Prof Kitila Mkumbo
Kaondoka Mzee Wasira

Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya Chadema baada ya kustuka na kujitambua.
Sasa wewe mwenzangu usie na mbele wala nyuma bado unang'ang'ania tuu popooz kama vile una hisa huko?

Kama Mbowe aliweza kuwasaliti wote hapo juu ambao ndio waliokijenga chama, wewe ni nani akuone wa maana zaidi ya kukutumia?

Kijana mwenzangu shituka! Usikubali kufanywa ---- na wajanja wachache.

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI LOWASSA, MBOWE NA VIBARAKA WAO.

TUMUUNGE MKONO MAGUFULI KUKOMESHA MAFISADI NA KULETA KUJENGA TANZANIA MPYA YA WOTE.

Hakuna watu wanaoitwa CCM au UKAWA , bali kuna watu wanaitwa WATANZANIA.

MAGUFULI ATAKUA RAIS WA TANZANIA KWA AJILI YETU NA KWA AJILI YA WOTE KWA MAENDELEO YA WATANZANIA

Mwizi mkubwa umehongwa na wewe unatuletea uchafu wako huu?
mwaka huu mtaisoma namba kwanza kwa taarifa yako Wasira hakuwa Chadema hilo moja.
Pili kama umepiga dili Lumumba wewe endelea sisi hatuitaki CCM tu basi.
Hata tukisimamishiwa Shetani ni bora kuchagua Shetani kuliko CCM.
 
Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK
Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema.
Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema
Kaondoka Prof Kitila Mkumbo
Kaondoka Mzee Wasira

Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya Chadema baada ya kustuka na kujitambua.
Sasa wewe mwenzangu usie na mbele wala nyuma bado unang'ang'ania tuu popooz kama vile una hisa huko?

Kama Mbowe aliweza kuwasaliti wote hapo juu ambao ndio waliokijenga chama, wewe ni nani akuone wa maana zaidi ya kukutumia?

Kijana mwenzangu shituka! Usikubali kufanywa ---- na wajanja wachache.

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI LOWASSA, MBOWE NA VIBARAKA WAO.

TUMUUNGE MKONO MAGUFULI KUKOMESHA MAFISADI NA KULETA KUJENGA TANZANIA MPYA YA WOTE.

Hakuna watu wanaoitwa CCM au UKAWA , bali kuna watu wanaitwa WATANZANIA.

MAGUFULI ATAKUA RAIS WA TANZANIA KWA AJILI YETU NA KWA AJILI YA WOTE KWA MAENDELEO YA WATANZANIA

Kumbe ndio maana unaitwa 'chilisosi' - maanake unawasha lakini wenzako bado wanakula!!! Umeshindwa kuelewa ya kwa kwamba CCM ina list ndefu kama bara bara ya kukimbiwa na viongozi wake? nitakusaidia kukumbusha:
1. Edward lowasa - alikuwa Waziri mkuu TZ na mjumbe wa CC na NEC ya CCM
2. Fredrick Sumaye- alikuwa waziri mkuu TZ namjumbe wa CC na NEC ya CCM
3. Mgana Msindai- alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM wa mikoa
4.Seif Sharif Hamad - Alikuwa Waziri kiongozi wa SMZ na mjumbe wa CC na NEC ya CCM
5. Hamad Rashid Mohd- alikuwa waziri wa TZ na mjumbe wa NEC ya CCm
6. Mansour Yussuf himid- alikuwa waziri wa SMZ na mjumbe wa halmashauri ya CCM
7. Khamis Mgeja alikuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa Mwanza
7. Makongoro Mahanga _waziri wa serikali ya CCM
8.lawrence Masha - waziri wa serikali ya CCM
9.James Lembeli - Mbunge wa CCM
10. Ester Bulaya - Mbunge wa CCM
11. Mzee Hassan Moyo- Mwanachama muanzilishi wa CCM mwenye kadi namba 7!!!

Hao niliokutajia basi ni viongozi wachache tu ambao wameondoka CCM hivi unataka kutueleza ya kwamba wewe unauchungu na CCM kuliko hao? najua uko CCM kwa maslahi yako lakini kumbuka unapomwonyesha Kidole mwenzako basi ujue ya kwamba vidole Vinne vinakuangalia wewe. Toka huko CCM unangoja nini??? Au huko kwenye CCM ndio kuna wale walaji wa Chilisosi?
 
Mkuu hao watashtuka MAGUFURI akiwa anaapishwa!wallah watu hawataamini macho na masikio yao hiyo siku ikifika!!!!nawaambia tu wana Chadema mujiandae kisaikolojia jamani!
Sura ya Magufuri ukiiangalia wala haina dalili ya kushindwa!wala hajawaza kushindwa,anajua kabisa kwamba yeye ni PRESIDENT ajae!
Poleni sana wanaUKAWA!

Magufuli ndo rais wa awamu ya tano ajaye

Mimi ni mzazi wako, najuta kuzaa nyumbu

Unazani alikua nccr?

CCM Mnatakiwa kujiaandaa kisaikolojia kuwa Wapinzani maana naona hamkubaliani na uhalisia.
 
Back
Top Bottom