Bro hapo unachemka... Kuishi nao kwa Akili Ni Sababu Ni viumbe Dhaifu Sana.. Hivyo Bila Kutumia akili unaweza kumsababishia madhara au wewe Mwenyewe kujipatia madhara... Kama unasoma Bible vizuri utakubaliana na Mimi kuwa Biblia imelalia zaidi kuwaonya Wanaume.. Ndo maana hata ukizini na Mke wa Mtu Biblia inasema utakuwa na Hatia..