Ikitokea umebaki peke yako Duniani

Utasavaivu kwa muda tu maana vitu vya kutumia bila kuvuja jasho ama kuumiza akili vitakuwepo chekwa.
Tatizo kula hayo maraha bila ya kuwa na mwanamke pembeni! Utadhoofu kwa upweke nawe utakufa na mavumbini utarejea mapema iwezekanavyo kabla ya siku zako!
 
Hapo no way,
Utaamka tu kutoka kwenye hiyo ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…