Ikitokea umebaki peke yako Duniani

Good idea...but nilivyo muelewa mleta Uzi, anamaanisha what/how if unajikuta wewe ndie living thing (Kiumbe hai) katika Ulimwengu huu....!!

Au utafanya nini ikiwa utajikuta peke yako katika Sayari ya Mwezi..!

Nitaishi kwa amani endapo makaburi na wale watu waliopo mochwari vipotee..
Mwanzoni itanipa shida kidogo lakini nitazoea..

Magari yote mali yangu pamoja na viwanda
Ardhi yote mali ni mali yangu
Ndege zpte mali yangu
Naenda pale jk naitekenya ile bombardier natua kenya nachukua boeng,naamsha hadi dubai nachukua Emirate aahahaha namsha hadi Guangzhou uchina aisee ntakula bata..

Nikiishi kwa miaka mitatu nitakuwa na uwezo wa kuumba viumbe navyotaka viwe chini yangu lakini
 
Nakuwa kama Adamu,naanza kuwapa Ndege na wanyama majina..

Halafu Sir God mwenyewe atajua aamue amlete tena Eva au ni baki "man alone"
 
Nitapiga punyeto mfululizo mpaka Mungu aniletee wakufanana na mimi
 
Nje ya mada,hii imenikumbusha Kna ugonjwa ila nmesahau jina mtu una life lako kama kawaida,unafanya daily activities kama kawa, ikifika night unaenda kulala kama kawa.
Ishu ni utakapoamka,kila mtu kwako au kila kitu kwako kinakua kigeni,yaani hutambui chochote,na sio kwamba unakua chizi au zezeta no,bali kila kitu kwako kinakua memory haipo,mke ,watoto,washkaji ,magari hata sura yako inakua ngeni.
Mind you hii sio disorder,ni rare disease ambazo hazsemwi sana,nkikumbuka jina siku ntajazia
 
Kwani Nuhu yeye alifanyaje? Maana kubaki na familia yako ni kama kubaki pekeako.

Ila maswali kama haya sio ya ki greater thinker. Peleka fesibuku.
 
Me nitahamia magogoni Kula bata alafu nitaanza kujifunza kuendesha ndege za ATCL yani hapo mwendo wa bata tu
 
Huwezi kujua kama uko peke yako dunia nzima. Hizi ni hadiths za Alfu Lela Ulela
 
sisi tusio oa tunaishi kwa mzee, tuandikie uzi wetu na sisi tuimagine
 
Wakati unazubaa zubaa bonge la wingu linatanda na inaanguka mvua kubwa Sana ya upepo na radi Kali! Ila haufi unashangaa maji yanapita Kwa kasi barabarani time hizo umeegama mvua iishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…