Me naona aibu nikifa usingizini nikiwa uchi,bora kuungua,kuzama baharini au kugongwa na gari,maana yake ni kwamba nitakuwa nimetoka najielewa maana nimetoka nyumbani!
Kuna mambo mengine maishani ukiyafikiria sana unaweza usipate jibu sahihi.
Ktk huo mfano ikiwa ulikuwa umejisaidia haja hapo hawatalazimika kukubadili mavazi? Kama shida ni kukuchungulia utachunguliwa tu unapokuwa hujiwezi.
Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!