Ikitokea Ukafa Ukiwa Usingizini!

Ukifa usingizini imagine unakutwa na mtu wa kwanza ukiwa na hali gani?umejisitiri kiasi gani/
Kama tabia yako ni kulala uchi wa mnyama siyo wote tuko hivo
Huo mfano ungejitolea mwenyewe
 
Shukrani mkuu...jamaa kavurugwa huyu
 
Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!
Bangi noma tena ukivutia chooni
 
Mi baada ya kuambiwa wachawi uwa wanatubeba usiku kwenda kulima basi uwa najitahidi angalau nilale hata na boxa
 
pia ukifa utashusha kimba kubwa kuliko kwaiyo huoni aibu tutakapo kukuta umesha haribu hali ya hewa !!!???
 
Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani
Ukifa we marehem bhana kwani hata ukiachwa barbarani upo uchi una hbari gani inawahusu walio hai aliyekufa Keisha kufa story end
 
Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!
Naona unafikiria kuwa ukifa unabaki na hisia kama ulizo nazo. Ukifa umekufa. Uwe uchi, uwe umevaa suti kali si lolote si chochote. Usijisumbue kuwa utakufaje. Wengine hufia bafuni wakioga. Unataka kusema waoge wakiwa wamevaa bukta??
 
Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!
Wkt wa kutaka kufa ukiwa usingizini kwanza utapata ndoto ya kukuarifu kuwa unakufa.Cha kufanya amka uvae bukta ulale tena ili ufe ukiwa umejisitiri
 
Maiti haina aibu. Na kama ulishawahi kushiliki kuosha mwili. Uha unapewa onyo, Kitunza aibu ya maiti kama mtu alikuwa anamapungufu yake yanabaki humohumo ndani ya chumba cha kuoshea.

Ikitokea unasimulia hapa kila mtu atakushangaa, ile ya marehemu Kombo kutumwa kwenye mitandao ilikuwa upumbavu wa kiwango cha SGR.
 
ukifa umekufa hata wakukute huna nguo tyr uumenda

....Hata wakikukuta na nguo wakati wanakuandaa wakakuzike watakuvua tena nguo zote, tena kama ni muislamu utazikwa na sanda nyeupe tuu.
 
Ha ha ha a jamani inabidi na kuoga awe anaoga na nguo kuepuka aibu ya kuchunguliwa akifia bafuni
Sasa kama unaogopa na kuwaza ukifa bila nguo itakuwaje,basi vaa tu bukta hata wkt wa kuoga ili uridhishe nafsi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…