Ikikutokea wewe, utafanyaje?

Ukiacha mke au mwanamke usimuingilie tena katika maisha ya wake kama mumezaa angalia watoto tu wawe salama sio yeye
 
Ni sheria ya nchi gani hiyo inayoruhusu mke ambaye ni mama wa nyumbani kugawiwa mali ikiwa ni yeye aliyevunja ndoa kwa kukosa uaminifu??
 

AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZAKE SIO KILA USHAURI AUCHUKUE BILA KUUFANYIA EDITING
 
Mali mnagawanaje wakati bado nyumba na gari inamkopo wa bank mbona kama umechanganya mambo au ndio hasira?
 
Hadithi za uongo utazijua tu,huwa hazipangiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…