IKENGYA; Baba mshahara mdogo, acha kazi kalime

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,374
Reaction score
12,013
NILIPO kuwa mdogo nilipata kusikia mtu mmoja aliyeitwa ikengya kutoka kwa wenzetu wa kanda ya ziwa, hasa wahya, ikengya alikuwa mtaalamu sana wa misemo na majibu ya kalaa, mfano mmoja ninao ukumbuka kwa kilugha cha hawa wahya kilisema hivi,

Ikengya nkanorabya umofu Ombusiri? jibu; KALAYONA NDALIPA!

Tasiri; Ikengya mbona unampitisha maiti kwenye shamba?;JIBU; AKILA MAZAO YALIYOMO SHAMBANI NTALIPA!

Ukitazama majibu hayo hapo juu ni majibu ya mtu ambaye anaonesha hakupenda kukusolewa au kuulizwa, hii imenikumbusha Bango liliro bebwa na mtumishi wa umma jana kwenye uzinduzi wa BOMBA AMBALO sjui ni la mafuta ya uto, taa au petrol?

Mtumishi alibeba bango limendikwa Mh raisi Mshahara mdogo jibu aliro pewa ni kuwa Hacha kazi Kalime!

sasa kilimo ni kazi inayofanywa na watu wasio na kazi? je ilo ndilo jibu sahihi la mishahara kwa watumishi wa umma?

IKENGYA KATIKA UBORA WAKE!
 
"Acha kazi" sio "hacha kazi".

FaizaFoxy anakuja mkuu

sent from Sokoro nkorambokande
 
sema wewe ni mahaya,
 
Ukilima ukibahatika kupata huruhusiwi kuuza soko utakalo wewe. Unaambiwa tuta kunyanganya mazao na gari tuta taifisha. Hii serikali bhana hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIPO kuwa mdogo nilipata kusikia mtu mmoja aliyeitwa ikengya kutoka kwa wenzetu wa kanda ya ziwa, hasa wahya, ikengya alikuwa mtaalamu sana wa misemo na majibu ya kalaa, mfano mmoja ninao ukumbuka kwa kilugha cha hawa wahya kilisema hivi,

Ikengya nkanorabya umofu Ombusiri? jibu; KALAYONA NDALIPA!

Tasiri; Ikengya mbona unampitisha maiti kwenye shamba?;JIBU; AKILA MAZAO YALIYOMO SHAMBANI NTALIPA!

Ukitazama majibu hayo hapo juu ni majibu ya mtu ambaye anaonesha hakupenda kukusolewa au kuulizwa, hii imenikumbusha Bango liliro bebwa na mtumishi wa umma jana kwenye uzinduzi wa BOMBA AMBALO sjui ni la mafuta ya uto, taa au petrol?

Mtumishi alibeba bango limendikwa Mh raisi Mshahara mdogo jibu aliro pewa ni kuwa Hacha kazi Kalime!

sasa kilimo ni kazi inayofanywa na watu wasio na kazi? je ilo ndilo jibu sahihi la mishahara kwa watumishi wa umma?

IKENGYA KATIKA UBORA WAKE!
[emoji23] [emoji23] kanotela omukazi Wenda Bali babili mbankoba!! Daa,umenikumbusha mbali

Tulishazoea majibu ya jombaa tokea alipokuwa Bukoba akisema Mwafaa;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahaya wakipambana na uhaya wao...zamani nilisikia kuna maeneo yanayoitwa kwa wahaya sijui ilikuwa inapatikana huduma gani

karma is a bitch
 
Kwani kazi ni serikalini tu? Woga wa maisha ndio tatizo la msingi linalowasumbua watumishi wengi wanaofanya kazi serikalini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom