wewe je?
Tushakuja...............Watakuja
Katika .com yetu hii watanzania tumetokea kujichanganya katika mahusiano tena zaidi ya mtu mmoja hebu tuwamulike wanaume wote walio ndani ya ndoa na wasio kuwepo ndani ya ndoa mnajihadhari vipi na magonjwa kwa kujichanganya na wake za watu, watoto wa shule, mabeki tatu, wabibi, majimama na machangu... Onyo: kama hujui umalaya kaa kimya!
yeye kama mimi hatuhusiki...
Tushakuja...............
Nashukuru sana wadau na imebainika hakuna watu wa aina hii hapa kwetu ila kumbukeni mficha uchi hazai!