Inamaan nuclear hiyo itateketeza watu wote duniani pamoja na wao? Au wao watabaki namanisha hizo nchi mbili za nuclearTatizo kubwa liko kwenye Nucler na hapo ndo mataifa mengi ya NATO huwa yanasita, make wao wanaomba vita yao na Urusi ikipiganwa basi kusiwepo nu kutumia Nuclear kitu ambacho hakiwezekani.
Ila ukweli ni kwamba Vita yoyote ya Nuclear itamanisha mwisho wa Dunia, hakutakuwa na maisha baada ya hapo hilo linajulikana na lisha ongelewa sana kwamba vita ya Nuclear itakuwa ndo mwisho wa maisha.
Na mpaka waje wapigane basi ujue uvumilivu umefikia kikomo, make si bunge la Marekani wala Bunge la Urusi linalo weza kuidhinisha vita baina ya hayo mataifa mawili.