Ikatokea kombora la nyuklia linarushwa kuelekea Marekani

RT ile ni state media lazima ivutie sn kwa urusi ila hio S-400/500 hazijawah kuwa tested katika combat,pia wanadai znaweza detect any stealth aircraft lakini kiu kweli walidesign kwa stealth aircraft ya marekani ya zamani ile F-117 ambayo walishaachana nayo muda sana sema tu warusi hawaishigi majigambo..mfano kuna bomber moja inaitwa B-2 SPIRIT hii bwana ni stealth ambayo imetumiwa mara nyingi tu na marekani kwenye mission ambazo nchi zao zilikuwa na air defence nzuri,bado sina uhakika na uthabiti wa S-400 kwa ndege kama F-22 na B2
mkuu iyo F-117 ilistafishwa kwa sababu ya kutunguliw na mfumo wa zaman san mpak ikawa aibu,na iyo b-2 itakuja kupat aibu kam ilivyokuw kweny f-117

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
 
mkuu ukitaka vita ngumu zipo asia na europe,uwarabuni na africa usitegemee kuw unapigan vita

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
 
mkuu iyo F-117 ilistafishwa kwa sababu ya kutunguliw na mfumo wa zaman san mpak ikawa aibu,na iyo b-2 itakuja kupat aibu kam ilivyokuw kweny f-117

Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app
aah sasa ukisema na hio B-2 nayo itakuja.... sasa chochote kitakachotajwa hapa mkuu itakuja tunguliwa pia but atleast B-2 imesurvive kenye hio mifumo ya zamani afghanstan,kosovo,libya na iraq....au mkuu ntajie basi ndge nyngne nje US ambayo imewah survive hata kwe hio mifumo ya zaman
 
Wewe muongo duh! Marekani anatumia Space Shuttle's ambazo ni gharama zinapelekwa na rocket then zinajiwasha, Urusi anatumia rocket ya moja kwa moja ambayo inagawanyika na kubaki space ship,ambazo Japan, South korea , China, France, Canada wanatumia mfumo huo.Ilipofika mwaka 1998 Marekani amesitisha mfumo wa Shutters anakuja na mfumo mwingine wa ndege kwenda kwenye space moja kwa moja. Kwa taarifa yako Marekani kafanya Safari Mwezin na anga za juu zaidi ya 800, Urusi 200. Urusi rocket zina gharama ndogo na zinarushiwa Baickonur Kazakistan na wala sio ndani ya Urusi. Katika watu walioko katika International Space Station Urusi wanae Mmoja tu, uingereza 1,/Marekani zaid ya 10, jumla wapo 16. Chunga sana Marekani hana mpinzani duniani, wengine ni waigaji tu.
 
Marekani mfumo wake ni wa siri, uwezi fananisha na Urusi, Marekani ana meri za kubebea ndege baharini na kusogea kwa adui 18. Urusi ana 1. France ana 1 na China anajaribu kutafuta hiyo moja. Urusi anaringia kurundika nuclear heads kwenye milima ya Urals mountain, lakini anaijua na kiogopa Marekani. Ndio maana urusi anatengeneza ndege za kivita na abiria kama vile anatov lakini nchi nyingi azinunui ndege zake za kivita na abiria, wanaogopa maana zina matatizo mengi ya kiufundi. Belarus, Iran, Syria, Misri marafiki wa Urusi,huwa hawazitaki ndege za Urusi ni majanga. Ata Tanzania walikua na magari, na ndege kutoka Urusi wameachana Nazi, Urusi hana soko duniani anazidiwa hata na Korea kusin kwa ubora. Urusi na Marekani hawatapigana kwa sababu wanashirikiana kisiri siri. Pia Urusi kuna Jamii nyingi ndani yake ambazo raisi sana kuisariti, kwa mfano kuna outonomous state nyingi zinapingana na Moscow,zipo za kibidha, za Tatar(Islam), zipo za kiyaudi(Jews State) hizi states rafiki zao ni wamarekani wana internal president lakin wanakosa external affairs, Sasa Urusi inakumbatia Orthodox Church kama State Religion,ambao christian Orthodox ni million 180 katika watu million 240 hiv wa Urusi. Urusi ni raisi kumeguka kwenye vita sababu haijashikamana kama marekani,Anachofanya Putin ni kuongoza kwa Vitisho,usiku hayupo hakuna wa kuliunganisha taifa.
 
Hizo meli unazo seme ni kwa ajili ya vita za kupigana na nchi kama Libya, kwa vita kubwa inayo husisha mataifa yenye nguvu za Nuclear hizo meli hazina kazi, usizani Urusi anashindwa kuunda hizo meli, ni kwamba Yeye meajiandaa sana kwa vita kubwa, that is why Siraha zake zaidi ya 60% ni kwa ajili ya vita kubwa.

Siraha kama NYAMBIZI, NDEGE AINA YA BOMBER, MAKOMBOLA YA MASAFA MAREFU na MIFUMO YA ULINZI.

USA kwenye kuna mjadala kwenye bunge lao kuhusu kama USA iendelee kuunda meli za kubebea ndege au la na sababu zilisha tolewa ikiwa ni pamoja na kwamba nchi kama CHINA, URUSI na hata IRANI wana makombola tiyai yakuweza kuzamisha hizo meli na pia hizo meli si kwa ajili ya vita kubwa
 
Wewe muongo duh! Marekani anatumia Space Shuttle's ambazo ni gharama zinapelekwa na rocket then zinajiwasha, Urusi anatumia rocket ya moja kwa moja ambayo inagawanyika na kubaki space ship,ambazo Japan, South korea , China, France, Canada wanatumia mfumo huo.Ilipofika mwaka 1998 Marekani amesitisha mfumo wa Shutters anakuja na mfumo mwingine wa ndege kwenda kwenye space moja kwa moja. Kwa taarifa yako Marekani kafanya Safari Mwezin na anga za juu zaidi ya 800, Urusi 200. Urusi rocket zina gharama ndogo na zinarushiwa Baickonur Kazakistan na wala sio ndani ya Urusi. Katika watu walioko katika International Space Station Urusi wanae Mmoja tu, uingereza 1,/Marekani zaid ya 10, jumla wapo 16. Chunga sana Marekani hana mpinzani duniani, wengine ni waigaji tu.

Acha ushabiki wa kibibi wewe unajua kwamba kwa sasa Marekani anategema chombo cha urusi kufika anga za juu? unajua mpaka sasa USA ananunua injine za rocket kutoka Urusi? acha ushabiki wa kitoto wewe.
 
RT ile ni state media lazima ivutie sn kwa urusi ila hio S-400/500 hazijawah kuwa tested katika combat,pia wanadai znaweza detect any stealth aircraft lakini kiu kweli walidesign kwa stealth aircraft ya marekani ya zamani ile F-117 ambayo walishaachana nayo muda sana sema tu warusi hawaishigi majigambo..mfano kuna bomber moja inaitwa B-2 SPIRIT hii bwana ni stealth ambayo imetumiwa mara nyingi tu na marekani kwenye mission ambazo nchi zao zilikuwa na air defence nzuri,bado sina uhakika na uthabiti wa S-400 kwa ndege kama F-22 na B2

wao sio wajinga wana tes sana na kwa sasa wana test S-500 sasa kwa mawazo yako unazani testing ni kwenye vita pekee? acha mawazo hayo
 
Sio chombo cha urusi, baada ya kutach international space station, wakaekeana mkataba ya kwamba safari za kwanda international space station zipitie katika rocket za Urusi, Baickonur Kazakistan zinaporushiwa kwakuwa marekani wanasimamisha space shuttle, lakini shughuri za anga za juu, marekani wanatumia rocket zao mpaka Leo, na sio marekani tu ata uingereza wanatumia Baickonur cosmodrome. Alaf bisha kwa fact sio matusi wote sis ni binadam tunabishana na tunakufa.
 
Kununua ingene sio shida, ata ufaransa ananunua ingene toka Israel za space journey anazimodify.
 
Acha ushabiki wa kibibi wewe unajua kwamba kwa sasa Marekani anategema chombo cha urusi kufika anga za juu? unajua mpaka sasa USA ananunua injine za rocket kutoka Urusi? acha ushabiki wa kitoto wewe.
hpo kwenye rocket sidhan km ni kweli...maana mwaka Jana US wamerusha rocket yao kutoka kwenye ndege aina ya F-15 sidhani km US anashindwa kutengeneza hzo rocket nahisi itkua gharama za kutengeneza ni kubwa kuliko ya kununua
 
Hizo meli unazo seme ni kwa ajili ya vita za kupigana na nchi kama Libya, kwa vita kubwa inayo husisha mataifa yenye nguvu za Nuclear hizo meli hazina kazi, usizani Urusi anashindwa kuunda hizo meli, ni kwamba Yeye meajiandaa sana kwa vita kubwa, that is why Siraha zake zaidi ya 60% ni kwa ajili ya vita kubwa.

Siraha kama NYAMBIZI, NDEGE AINA YA BOMBER, MAKOMBOLA YA MASAFA MAREFU na MIFUMO YA ULINZI.

USA kwenye kuna mjadala kwenye bunge lao kuhusu kama USA iendelee kuunda meli za kubebea ndege au la na sababu zilisha tolewa ikiwa ni pamoja na kwamba nchi kama CHINA, URUSI na hata IRANI wana makombola tiyai yakuweza kuzamisha hizo meli na pia hizo meli si kwa ajili ya vita kubwa
Ila kumbuka kwenye vita hzo aircraft carriers huwa zinasindikizwa na destroyers,cruisers,submarines,mini submarines,ant submarines kwa ulinzi zaidi kwa maana ht hayo makombora ya kuzizamisha yanaweza kutunguliwa mbali na eneo zilipo na pia siku Hz aircraft carriers karibu zote za marekani zna ant-ballistic missiles system
 
wao sio wajinga wana tes sana na kwa sasa wana test S-500 sasa kwa mawazo yako unazani testing ni kwenye vita pekee? acha mawazo hayo
mkuu hata wenye ndege zao nao huwa wanatest,labda pia nkwambie kitu kimoja hi S-400/500 ni upgrading ya kutoka S-300.. na hio S-300 waisrael/US wamekua wakiifanyia mazoez mengi sana na ndege zao za kivita pamoja na electronic system zake jinc ya kujam kuhack n.k.,wamekua wakitumia ile S-300 betry ambayo ipo ugiriki kufanya hivyo tangu mwaka 2006..so unapoona wale jamaa wanasema wana stealth au wanaposema wanaifaham hio S-400/500 wanaelewa wanachoongea,kitu kingine sio S-400 tu,MFANO mzuri syria imekua ikitumia advanced SAM za urusi mda mrefu tu Lakini kuna kitu israel airforce walikifanya kwenye ile operation orchard ndo utajua kwamba hio S-400 pia watu wanaweza ifanya isione kitu
 
Ile operation orchard ndo nilijua kwanini Israel ranked as the best air force in the world
 
wale wanawajua sana waisrael,hata kwe ile vita na waarabu,israel walijam airdefense za misri ambazo zilikua nii za kisoviet kisha wakaanza kuranda na ndege zao kwenye anga za misri,pia israel walishawah lipu suspected nuclear reactor ya saddam pale iraq bila hata ya jeshi la iraq kujua hasa what is going on kwenye anga yao..kumbuka saddam alikua anatumia air defense za kisoviet pia na hizi mishe IDF huwa wanafanyiwa na MOSSAD+CIA
 
Ila kumbuka kwenye vita hzo aircraft carriers huwa zinasindikizwa na destroyers,cruisers,submarines,mini submarines,ant submarines kwa ulinzi zaidi kwa maana ht hayo makombora ya kuzizamisha yanaweza kutunguliwa mbali na eneo zilipo na pia siku Hz aircraft carriers karibu zote za marekani zna ant-ballistic missiles system
kweli kabisa mkuu, watu wanaona zile carriers zinavyoelea basi ni rahisi tu kuzamisha na anti ship ila kiukweli ni kazi sana kuizamisha hata meli moja pale,hasa zile destroyer zinaweza kubaini ni wapi fire iko on, inaintercept kombora halafu inaidentify kombora limetoka wapi kisha inadestroy hio target..so ingawa zinaweza zamishwa znapokutana na advanced enemy kama anti ship za russia au china lakini sio kirahisi rahis
 
Ha
wale wanawajua sana waisrael,hata kwe ile vita na waarabu,israel walijam airdefense za misri ambazo zilikua nii za kisoviet kisha wakaanza kuranda na ndege zao kwenye anga za misri,pia israel walishawah lipu suspected nuclear reactor ya saddam pale iraq bila hata ya jeshi la iraq kujua hasa what is going on kwenye anga yao..kumbuka saddam alikua anatumia air defense za kisoviet pia na hizi mishe IDF huwa wanafanyiwa na MOSSAD+CIA
Hata hii s300 si ajabu Israel kashajua jinsi ya kuijam maana naskia marekani kakataa kumpa hyo technology Israel coz yeye tayari anayo maana nakumbuka last yr wkt Russia kaiuzia Iran s300 Obama alisema"we'll penetrate any Iranian defences"Ila wataalam wanasema hawajampa Israel(I don't know why)
 
Hata kama patakua na watakaobaki duniani, ila watakua mazombie tu. Ikatokea uwenda wazimu umewaingia hizi nchi mbili halafu iwe ni kurushiana nyuklia kwenda mbele, hatasazwa mtu, fahamu hata washirika wao watajikua wanaachia silaha zao zikashambulie, yaani NATO/America na Mrusi, India na Pakistan watatumia hiyo fursa kuwekana sawa. Yule dogo wa Korea Kaskazini ataingiwa na kichaa na kuamua hayo maeneo ya Asia hayakaliki.

Israel na Iran pamoja na Waarabu wengine itakua ni kukumbushana majungu na kurushiana vijembe maana hamna tena kukingiwa kifua.

Afrika pamoja na kwamba hatuna lolote, lakini tutaburuzwa tu. Na ndio itakua mwanzo wa apocalypse, neno la Mungu linasema mahali werevu wa binadamu unaishia ndipo ujinga wa Mungu unaanzia. Sasa hivi kila nchi ipo mbioni kujihami na teknolojia ya hali ya juu ya kivita tena yenye maafa makubwa.
Nadhani ulimaanisha ujinga wa binadamu unapoishia, ndipo werevu wa Mungu unapoanzia. Huwezi kusema ujinga wa Mungu chief.
 
Duh! Asante kwa kuirekebisha, hapo nilichemsha mbaya aisei.
 
Back
Top Bottom