mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,204
- 22,248
mkuu iyo F-117 ilistafishwa kwa sababu ya kutunguliw na mfumo wa zaman san mpak ikawa aibu,na iyo b-2 itakuja kupat aibu kam ilivyokuw kweny f-117RT ile ni state media lazima ivutie sn kwa urusi ila hio S-400/500 hazijawah kuwa tested katika combat,pia wanadai znaweza detect any stealth aircraft lakini kiu kweli walidesign kwa stealth aircraft ya marekani ya zamani ile F-117 ambayo walishaachana nayo muda sana sema tu warusi hawaishigi majigambo..mfano kuna bomber moja inaitwa B-2 SPIRIT hii bwana ni stealth ambayo imetumiwa mara nyingi tu na marekani kwenye mission ambazo nchi zao zilikuwa na air defence nzuri,bado sina uhakika na uthabiti wa S-400 kwa ndege kama F-22 na B2
Sent from my NEW V1 using JamiiForums mobile app