Ikangalombo afukuzwe Yanga haraka

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,189
Reaction score
8,397
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!!

Daima mbele , nyuma mwiko
 
usajili wakukurupuka huo,ningumu sana kupata mchezaji mzuri dirisha dogo...
 
Jonathan ikangalombo sio mchezaji wa soka Bali ni tapeli uliyeamua kujipatia kipato kupitia mchezo wa soka.Hivyo natoa wito kwa Eng.Hersi kumkamata huyu tapeli nakumfukuza mara moja..!!

Daima mbele , nyuma mwiko
Ha ha Umesahau maneno ya Kamwe akimsifia huyo jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…