Ijuzeni namna nano au Micro GPS tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye mwili wa binadamu

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
Wakuu nijuzeni namna Nano au Micro Gps tracker zinavyokuwa inserted or planted kwenye Mwili wa Binadamu, Maeneo gani haswa huwekwa Chip izi? Je ikawekwa inakuwa inapata source of power kutokea wapi? Na je ina toa Velocity au Exactly location on real time???
 
System hio itakuwa matayarisho ya serikali moja na dini moja duniani (Wengine tunaita ant-christ system).
 
Hivi unaweza weka sehemu yeyote ya mwili lakini wengi wanaweka mkononi kwenye kiganja cha mkono.
Kuhusu umeme kinatoa wapi soma hapa!.
  1. ACTIVE
    An active tag has an on-board battery and periodically transmits its ID signal.
  2. BATTERY-ASSISTED PASSIVE (BAP)
    A battery-assisted passive (BAP) has a small battery on board and is activated when in the presence of an RFID reader.
  3. PASSIVE
    A passive tag is cheaper and smaller because it has no battery; instead, the tag uses the radio energy transmitted by the reader. However, to operate a passive tag, it must be illuminated with a power level roughly a thousand times stronger than for signal transmission. That makes a difference in interference and in exposure to radiation.
 
Ni nzuri hii unaanzisha kampuni yako then unawafunga Implant wafanyakazi mwisho wa mwezi unawaambia data zao!..
 
Back
Top Bottom