Ijumaa

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,791
Reaction score
1,166
Ningependa kila m2 aseme atakua wapi kesho.

Mimi sijapanga pakwenda. nasubiri kualikwa.

wewe utakua wapi weekend hii?
 
Ningependa kila m2 aseme atakua wapi kesho.

Mimi sijapanga pakwenda. nasubiri kualikwa.

wewe utakua wapi weekend hii?
mmmmh wewe mbona ulinitosa last wkend? sikualiki tena
 
mmmmh wewe mbona ulinitosa last wkend? sikualiki tena

Shosti Ngoja nikuchekeshe! si nilisahu kuwa nilikua na Dozi. yaani ningekuja ningekuboa sana. singewez kabisa kunywa savana,
 
Shosti Ngoja nikuchekeshe! si nilisahu kuwa nilikua na Dozi. yaani ningekuja ningekuboa sana. singewez kabisa kunywa savana,
mmmh aya njoo kesho pale pale pa siku ile
 
Mi nitakua na washkaji kuweka sawa mchakato mzima wa kuitwa " MUME "
 
hapa kuna mtu nitakua nae kwa ajili ya kutungua amri namba 6 kwa heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…