upo juu mupenzi yetu mupya! nivae thong au ya kawaida?? staki upate usumbufu, we BADILI TABIA uko wapi, marubani ndio siye, njoo tuendeshe chombo hiki, kisije-enda mrama! lol! Asprin twaja hold on kidogo kha!
hahahah hommi Asprin usiombeee kesho kwanza fikiria threesome yako wewe , BADILI TABIA na Erotica sijui...kaaaz unayo,
baada ya kusema hayo, Kesho sijui ni lini ila kama ni jumapili toa moja yamebaki masaa 20 hivi....mimi nina masaaa 72 jumamosi yangu ifike...daaaaaaamn.
mambo ya shanga ni MMU hapa sio MMU.
Hommie Erotica ana mimba asiyojua babake ni nani. ANAYEKUJA NI cacico na BADILI TABIA.
Soma katikati ya mistari apo hommie....
nilikuwa nimeshaandaa mnuno wa kutosha! bora ulivyojieleza! lol, umekaa wapi, nimefika sikuoni.Hommie Erotica ana mimba asiyojua babake ni nani. ANAYEKUJA NI cacico na BADILI TABIA.
Soma katikati ya mistari apo hommie....
yuko kuleeeeeeeee anamtengenezea Young_Master dawa ya kufanya vidume wa humu ndani wasini-do, na wakome kunifukuzia, hiyo dawa inabidi washiriki tendo, ndio nimewaacha huko, lol! pole yako!Orait..so kalenda ya leo inaonyesha3some Asprin, cacico na BADILI TABIA. Siku namsikia gfsonwin ako huko natengua mtu kiuno!
Wahi uje uwaone platozoom na Smile, nao watakuwepo
!Preta tafazali mwambie Lily Flower asikose kuja na vitoto vyake. Kuna kazi ya ukaguzi nataka nivikabidhi.
Waaaow.... thats my special mjukuu afrodenzi. Hivi unajua nlivokumisi mamaa?Haya babu ukichoka na hao ..
mi ntakuletea ugoro na mkongojo.
na ninajitolea kuwa "Sober driver" π Weekend njema π