Na wewe charminglady njoo umwone Judgement alivokuwa anakudanganya wakati mnachat
Thanks GOD Its Friday!!!
Leo nadhani ni Alhamisi jumlisha moja....mida sijui ila najua ni mchana na mkoloni wangu lazima atorokwe.mmmmhhh! Asprin hivi leo ni lini? na saa ngapi sasa hivi? lol!
Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hommie kesho ni Jumapili toa moja. Siku maalum kwa vitu maalum afu jumapili tunawahi kanisani kusali sala maalum. Kuna sehemu umemuona Mentor?
Ukimwona BADILI TABIA mwambie nshachukua room eti. Sawa? Mwambie awahi....Yan acha tu, me nilidhani kaserengeti boi!!!!!!!!!!!
Yesu wangu Asprin nimechekaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiii ngoja kwanza nikapate lunch halafu narudi hahahaaaaaa
!Preta tafazali mwambie Lily Flower asikose kuja na vitoto vyake. Kuna kazi ya ukaguzi nataka nivikabidhi.mmmh....leo...!!
Mkuu Mentor pole sana. Ila jitahidi kwakuwa haya makitu yatakuwepo na kama unavyoona Preta kwa kukata mauno hana tatizo....Hahah babu Asprin nipo around nimesikitishwa tu huku ofisini kutokana na mabadiliko ya ghafla yaliyotokea...sijaweza kufanya kazi yoyote apa najifanya bize na computer (the beauty of being a programmer)...mida iishe niondoke...mayb Tuesday toa moja nitakuwa fine!
So babu, wapi hiyo mahali aisee nije nipunguze stress aise..i really nid dat!!! so sad....:sad:
babu kwa chabo huyu sijui hata katoa wapi mie sijampa hata my love