Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Umewaza kitu sahihi sana, nchi nzima hali ni hiyo hiyo. Lumumba tu ndio watakàokanusha hii hali.Kwanza leo asubuhi naona kama maaskari wengi wapo barabarani mpaka kwenye magari ya mwendokasi.
Nimefika job kazi haziendi kabisa, nawaza tu hapa juu ya Tundu Lisu..
Honestly kazi haziendi kabisa leo, hapa naongea nusu nipitishe famba hapa kwa mawazo.
Hakika hii ijumaa imejaa majonzi makubwa.
Maisha haya magumu halafu mtu kama Tundu Lisu akituondoka tutakuwa wakiwa sana, nani atapaza tena sauti za wanyonge?
Eeeh Mungu wa mababu, Mungu muumba wa Nchi, Mungu wa Adam na Hawa, Mungu mwenye uwezo wa kila kitu.. Eeeh Mola,, eeeh Yehova.. Tunakuomba usiuzime mshumaa huu uangaziao wanyonge watanzania na wapenda mabadiliko..
[HASHTAG]#Hakutakuwa[/HASHTAG] na siku ijumaa ngumu kama ya leo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu jana nilikuwa natetea ile hatua ya Magufuli kwenye zile report. Ila naomba nikuambie tukio la Lissu linaniuma roho sana sana sana..Wewe jana siulikua unafurahia mkasa wa TL?
Aisee we mjanja sana umewahi nafasi
Aiseee we jamaa ni kama mchawi tuSiku zote ili nchi isonge lazima watu wafe..mtetezi wa nchi kwa sasa ni magufuli..hao wengine wananenepesha vitambi tu..wamesongwa na anasa za dunia..we endelea kutafuta ugali wa wanao
We ni pepo.. Unafanya nini kwenye jamii ya binadamu?.. Mijitu mingine ndo mnatuletea laanaSiku zote ili nchi isonge lazima watu wafe..mtetezi wa nchi kwa sasa ni magufuli..hao wengine wananenepesha vitambi tu..wamesongwa na anasa za dunia..we endelea kutafuta ugali wa wanao