ijumaa njema

loh, hii imekaa ndivyo sivyo maana sala ni sala. Inahitaji kujiandaa na sio kukurupuka, ngoja niende kwenye Msahafu kuangalia mwongozo wa hili
 
Sala popote lakini sijasikia wala ona na viatu tu, nyao ni mojawao wa vitu safa wa mwili wa binadamu vinavyotakiwa viguse chini/ardhi wakati wa kusali ie sujud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…