Ijumaa Mubarak

Iwe ijumaa ya kheir na amani,kwa kila kiumbe popote alipo kwa uwezo wa Allah,muweza wa kila jambo,na akisema kuwa,linakuwa.
 
Inshaallah....Ijumaa kareem....!
 
Mungu ajaalie iwe ijumaa ambayo itufanye tutambue wapi tunakwenda na wapi tumetoka ili kuzidi kujiletea maendeleo ya hapa duniani na akhera,mungu awaangamize maadui zetu wanaotufanyia vitimbi ili waturudishe nyuma.
Jumaa mubaarak
 
Ijumaa Kareem kwako mleta thread na wana jf wotee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…