Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Umeeleweka mkuu.Kwa hali hiyo, itabidi wahusika wabadilishane makazi tu.Kila mmoja aondoke na mchepuko kwa kuwa ndilo walilolichagua kulifanya.UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.
Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.
Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
*Hivi mmenielewa kweli.
Kutokuwa mwaminifu ni gharama kubwaUmeeleweka mkuu.Kwa hali hiyo, itabidi wahusika wabadilishane makazi tu.Kila mmoja aondoke na mchepuko kwa kuwa ndilo walilolichagua kulifanya.
Kabisa hakuna jinsi hadi wenyeji wajue mkitoka hapo mnaenda kuyamakiza nyumbani wakati wenyeji wenu nao watayamaliza kivyao maana lazima mtakuwa mmewaachie ya kuachaKinachotakiwa mnalianzisha huko huko uvunguni.
Fungua macho yako ya kiroho. Hii ni Vita ya kiroho ya mapenzisijaelewa kabisa
Duh... wewe nomaLazima nimdiss mke wangu kudumisha uanaume ... " never walk alone ..