Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Niweke wazi kwamba uzi huu nauleta tena kutokana na mazingira ya wakati wa sasa ili tuujadili kwa kina baada pia ya kuuboresha
1. Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. Uhuru pekee ni rasilimali tosha
2 Tz ni nchi ambayo imekuwa ina kitu cha pekee ambacho nchi za Africa zimekikosa nacho ni AMANI na UVUMILIVU kwa miaka yote 54 ya uhuru
3. Tz ina ukubwa wa 945,087 km mraba yaani sawa na uchukue Denmark, France, United kingdom (UK), Netherlands, Ireland ujumlishe zote kwa pamoja. Uingereza ni ndogo mara 7 lakini ilikua ndiyo mtawala wa mwisho Tanzania. 30% ni Mbuga za Wanyama. kuna Maeneo 12 ya Hifadhi Asilia Mapori Tengefu 38. Hekari milioni 33 za misitu ambapo kuna mti wa mpingo ulio ghali zaidi duniani na nchi ikiwa na uzalishaji mkubwa wa mazai ya misitu ikiwemo mbao na asali
4. Tanzania ina jumla ya watu milioni 44.9 ambapo wanawake ni 51.3 na wanaume ni 48.7%, nguvu kazi ya Taifa ni 52.2% ilihali vijana ni 66.4% (sensa 2012) hata hivyo wastani pato la kila mtu ni ni shilingi 2880 kwa siku tu huku mtu mmoja akitegemewa na wastani wa watu 8!!! asilimia 75 ya wakulima wanaingiza pato la asilimia 24 tu kwenye bajeti ya Taifa huku makusanyo ya kodi yakiwa ni shilingi trilioni 12 tu kwa mwaka katika bajeti nzima ya trilioni 23 (HDR 2014)
5. Tz ina eneo la bahari lenye ukubwa wa 1,424 kilomita bahari inaleta fursa za usafirishaji, uvuvi, gesi, utalii na nyinginezo. Mwambao wa Tanzania Una Bandari Kuu Tatu Mtwara, Tanga na DSM
5. Tz ina maziwa makubwa manne na mengine madogo mengi. Maziwa matatu makubwa yako kwenye kumi bora za ukubwa duniani na Maziwa makubwa matatu yote yapo Tanzania. Ziwa Victoria ni la tatu kwa ukubwa duniani(la kwanza afrika) na ziwa Tanganyika ni la sita kwa ukubwa (la pili afrika) na la kwanza kwa kuwa na kina kirefu duniani. Ziwa nyasa ni la tisa kwa ukubwa duniani (ni la tatu afrika).
6. Tz ina mito mikubwa kumi ambayo ni mto Kagera,mto Ruvuma, mto Rufiji, mto wami, mto Malagarasi,mto mara, mto Pangani, mto mara, mto gombe, mto mweupe wa Nile. Na ina mito midogo mengi kama mto Kilombero, mto Mbwemkuru n.k
7. Tz ni nchi ya nne kwa uzalishaji dhahabu afrika baada ya Afrika Kusini, Ghana na Mali na ipo kwenye top 20 Duniani. Tanzania inaongoza kwa gesi Afrika ikiwa na futi za ujazo trilioni 57.27. Gesi ya Mto Ruvu Pekee iliyogunduliwa hivi karibuni ina ujazo wa futi triliobi 2.17 TU, na thamani yake ni dola bilioni sita sawa na trilioni 12 za Tz..
8. Tanzania Ina Jumla ya Migodi HAI Mikubwa 9 Kati ya Hiyo 6 ni ya Dhahabu, 1 wa Almasi upo Mwadui 1 ni wa Makaa ya Mawe Kiwira na mwingine ni wa Vito ama Tanzanite hapo Mererani
9. Hata Hivyo Tanzania ni Moja ya Nchi MASIKINI SANA DUNIANI AMBAPO ASILIMIA 30 YA WATANZANIA WANAISHI KWENYE UMASIKINI WA KUPINDUKIA (hawana uhakika mchana huu watakula nini_) tukitegemea misaada ya wafadhili na wahisani
Tanzania ni nchi ya 159 kati ya nchi 187 Duniani kwa umasikini