Ijue RAMIA kwa kiasi ilivyotengenezwa.

Ijue RAMIA kwa kiasi ilivyotengenezwa.

Hivi huyo mwenyekiti wenu aliyeanzisha maandamano bila kibali wakati muda umepita saa12:00jioni ,ANAKWEPAJE KUHUSIKA NA KADHIA HII???
 
Hiyo sio bahati mbaya, hakukua na ulazima wa kutumia silaha za moto kwa watu ambao hawakua na chochote wala kuonyesha vurugu. Tatizo ni kuonyesha ubabe na kila mmoja hataki kujishusha.

JK aliwahi kusema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala. Waache wazunguke weee mwisho watatulia wenyewe. Hii nchi tatizo kuna watu wanajiona ni bora na wengine ni takataka
Jamani ni bahati mbaya hiyo.
 
Hivi huyo mwenyekiti wenu aliyeanzisha maandamano bila kibali wakati muda umepita saa12:00jioni ,ANAKWEPAJE KUHUSIKA NA KADHIA HII???
Tena maandamo yanayoanzia Mwananyamala kweli muda huo si unataka kuleta zahama kubwa kwa wapita njia?
 
Hivi ukipiga risasi kwenye kundi la watu mtu akafa unaweza kusema ni bahati mbaya??

Kabla ya kujibu jitoe upumbafu wote na mihemko na ushabiki wa chama alafu unijibu..

Risasi ingekuwa imejifyatua hio ni bahati mbaya au dada angekuwa amepit kwenye uwanja wa range wa jeshi hio ni bahati mbaya..
Sasa risasi iliyopigwa uraiani ni bahati mbaya kumpiga raia..
Bahati mbaya hiyo uwezi kujua hali ilikuwaje wakati tukio.ingekuwa ni makusudi basi wangekufa walioandamana na siyo ndani ya daladala
 
Back
Top Bottom