Habari Wakuu.
Najua humu wapo tayari watu wanatumia hii search engine ya Presearch lakini kwa faida ya wale ambao hawajaisikia naomba niilete hapa.
Unapotumia search engines kama Google, Yahoo, Bing na kadhalika unapata tu matokeo ya kule unachokitafuta.
Sasa kwa takriban miaka miwili Kuna hii search engine inayoitwa Presearch. Kwa kila search unayofanya unapewa bakshishi ( (reward) ya kiasi fulani cha tokens (PRE tokens).
Kwa wale wenzangu walio kwenye anga za cryptocurrency wanaweza kuangalia thamani ya PRE kwenye coinmarketcap.com. Ila kama mambo haya ni mageni kwako usihofu. Nipo hapa kukuelimisha.
Kwa Leo thamani ya PRE moja inacheza kwenye shilingi 400. Kwa kila search unayofanya kwenye search box ya Presearch unapata 0.1 PRE, ni kama shilingi 40.
Thamani ya token hii inapanda kasi sana hasa baada ya kupata kibali cha App yao kuwa pre-installed kwenye Simu zote za Android na Iphone zinazotengenezwa ndani ya jumuiya ya Ulaya (EU).
Unaweza kujiunga na Presearch moja kwa moja kupitia www.presearch .org au kama hutojaji naweza kupata referral link yangu na ukijiunga kupitia hiyo Mimi na wewe sote tutapata referral bonus ya token 25 ( vigezona masharti kuzingatiwa).
Kama huhitaji referral bonus unaweza kujiunga moja kwa moja.
Naomba kama kuna maswali yaletwe hapa. Najua wengi wetu humu tunatumia sana search engines lakini wao wanafaidika zaidi kwa kuuza data zetu na sisi hatugawiwi chochote.
Tujaribu Presearch.