Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,942 Reaction score 12,506 Aug 12, 2022 #61 The Sunk Cost Fallacy said: Tanzania ina majiji 3 tuu ya maana, Dar,Dom,Arusha.. Hayo mengine ni mlundikano wa maskini mjini tuu. Click to expand... Dom ndio inaongoza kwa kuwa na ombaomba wazawa.
The Sunk Cost Fallacy said: Tanzania ina majiji 3 tuu ya maana, Dar,Dom,Arusha.. Hayo mengine ni mlundikano wa maskini mjini tuu. Click to expand... Dom ndio inaongoza kwa kuwa na ombaomba wazawa.
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,516 Reaction score 14,183 Aug 12, 2022 #62 hoffman said: Punguza chuki kwa watu wa Mwanza, mlengo wako wa kisiasa isiwe shida kwetu. Click to expand... Sasa Mwanza ni Jiji na wewe,pale kuna mlundikano wa shanty mabanda mule milimani hakuna cha maana
hoffman said: Punguza chuki kwa watu wa Mwanza, mlengo wako wa kisiasa isiwe shida kwetu. Click to expand... Sasa Mwanza ni Jiji na wewe,pale kuna mlundikano wa shanty mabanda mule milimani hakuna cha maana
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Aug 12, 2022 #63 The future is exciting
Busan JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 644 Reaction score 736 Sep 7, 2022 #64 Mastamind said: Mwanza nilijua ni jiji lenye hela kuliko Arusha, lakin kumbe limepitwa na Arusha banah,, 1. Dar-75.3B 2. Dom-45.1B 3. Arsh-24.3B 4. Mwnz-17.7B 5. Tanga-17.4B 6. Mby-16B Yaani ikizubaa Tanga wanapga kiwiko Click to expand... Kuna Ilemela 10B
Mastamind said: Mwanza nilijua ni jiji lenye hela kuliko Arusha, lakin kumbe limepitwa na Arusha banah,, 1. Dar-75.3B 2. Dom-45.1B 3. Arsh-24.3B 4. Mwnz-17.7B 5. Tanga-17.4B 6. Mby-16B Yaani ikizubaa Tanga wanapga kiwiko Click to expand... Kuna Ilemela 10B
Busan JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 644 Reaction score 736 Sep 7, 2022 #65 Ekuweme said: Jiji la Mwanza limeundwa na wilaya mbili lakini lina jumla ya kata 20 wakati jiji la Mbeya limeundwa na Manispaa moja tu lakini lina kata 36 Click to expand... Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37
Ekuweme said: Jiji la Mwanza limeundwa na wilaya mbili lakini lina jumla ya kata 20 wakati jiji la Mbeya limeundwa na Manispaa moja tu lakini lina kata 36 Click to expand... Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Sep 10, 2022 #66 Busan said: Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37 Click to expand... Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu
Busan said: Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37 Click to expand... Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu
Busan JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 644 Reaction score 736 Sep 12, 2022 #67 Mikdde said: Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu Click to expand... 15 nyingi ivo
Mikdde said: Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu Click to expand... 15 nyingi ivo
Busan JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 644 Reaction score 736 Sep 12, 2022 #68 Mikdde said: Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu Click to expand... Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa
Mikdde said: Mfano dodoma Ina kata 40 lakin zilizoko mjini ni 20 na zilizojengeka Kama 15 tu Click to expand... Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Sep 12, 2022 #69 Busan said: Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa Click to expand... Miyuji . kuelekea mwatano kule . .pindi ni mipango maeneo walikuwa wanakabwa sana wanafunzi
Busan said: Mfano kata ya Miyuji ina maeneo kibao hayajajengwa Click to expand... Miyuji . kuelekea mwatano kule . .pindi ni mipango maeneo walikuwa wanakabwa sana wanafunzi
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Sep 22, 2022 #70 Busan said: Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37 Click to expand... Unakuta kata kama igoma ina wakazi 59000 kwa mujibu wa sensa ya 2012
Busan said: Kuwa na kata Nyingi haimaanishi mji ni mkubwa kuliko wenye kata Chache Nakusahihisha ilemela 19 Nyamagana 18 jumla 37 Click to expand... Unakuta kata kama igoma ina wakazi 59000 kwa mujibu wa sensa ya 2012
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Sep 22, 2022 #71 Unakuta kata kama mahina ilikuwa na watu 65000 huyo anaesema kata 40 unakuta kata 15 Zina watu 3000 πππ
Unakuta kata kama mahina ilikuwa na watu 65000 huyo anaesema kata 40 unakuta kata 15 Zina watu 3000 πππ
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,989 Jul 22, 2023 #72 Nataka kuja Mwanza Jiji nipeni maelekezo wakuu wa Mwanza
E EDOGUN JF-Expert Member Joined Jul 9, 2023 Posts 256 Reaction score 304 Jul 22, 2023 #73 Dela gawiza bhabha