Hii haina tofauti na zile apps za Google Playstore za kupima HIV/AIDS kwa finger print!
eti "Electricity used today for Internet" eti "Computer or Smartphones sold today"
Baada ya kutumia Internet kuelimisha watu vitu vya msingi mtu anaweka Video kuonesha hiyo Crapy website isiyokua na uhalisia wowote!
Hii ni pure Gibberish