Ile movie ya Delta Force inaweza kuwa inatokana na hill tukio kumbe ...maana imechezwa pia na kushirikiana na waarabu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna mkuu sijamponda ..nilikumbushia tu..[emoji3][emoji3]Mkuu mbona mara ya kwanza ulimponda mleta mada ukasema sijui the bold alishaileta hii mada, kumbe umenogewa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuuKongole mkuu, nimeifuatilia vema makala yako...pamoja na mapungufu machache ya kiuandishi imejaa madini matupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuNimejikuta nasoma sehemu zote Tatu bila kujua nimefikaje mwisho, makala tamu sana mkuu.
Kweli umeamua kutikuwa mzigo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sanaNimependa uandishi wako hauchoshi kusoma pia unafafanua jambo vizuri na kutia mifano mitamu. Safi sana mkuu.
tupe link mkuuThe Bold alieleza vizuri sana kuhusu hii kitu ..tafuteni Uzi wake
Sent using Jamii Forums mobile app