steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Hahahahahaaaa sawa mkuu!Asante kwa historia.. Je ni kweli hizi vita za wangoni na wahehe ziliwahi kupelekea wahehe kutaka kuhamisha mlima fulani waliokuwa wanautumia kwa ibada? Nasikia lengo ilikuwa ni wauchimbe kwa chini waubebe kama mti na mizizi yake.. Wahehe akili zao wanazijua wenyewe [emoji3][emoji38][emoji3]
Vita ya tatu wahehe walifumuliwa saaana wengi wao walikufaAsante kwa historia.. Je ni kweli hizi vita za wangoni na wahehe ziliwahi kupelekea wahehe kutaka kuhamisha mlima fulani waliokuwa wanautumia kwa ibada? Nasikia lengo ilikuwa ni wauchimbe kwa chini waubebe kama mti na mizizi yake.. Wahehe akili zao wanazijua wenyewe [emoji3][emoji38][emoji3]
Si kweli, ni uongo kabisa, wahehe hawajawahi kupigwa na wangoni kamwe.....hakuna kabila lililowahi kumpiga mhehe.....hiyo sehemu iliitwa Makambako ikiwa na maana sehemu ambayo mahafari wawili walikutana....yaani ng'ombe dume zilipokutana.....kwa kihehe makambako manaake mafahari