A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 778
Dhambi ilitoka alipoasi Adam,akaacha kutii maelekezo ya kuto Kula tunda. Tendo hilo ndilo lilizaa dhambiDhambi ilitoka wapi wakati Mungu ni Mwema?
Hakika mkuu kuna mambo huwa tunayoyafanya yanayonekana kama dhambi mbele za Mungu na hutokea tuu sababu ya madhaifu ya ki uwanadamu hayo hayahesabiwi kuwa ni kosa au dhambi, bali kuna makosa tunayoyafanya kwa kudhamiria toka ndani ya mioyo yetu kwa hayo mbele za Mungu uhesabiwa kuwa ni dhambi,kwa hyo swala la kujihesabia ukamilifu au kuwa watakatifu mbele za Mungu kwa binadamu bado ndio maana hata mwenyewe anasema hakuna mwanadamu aliyekamilika mbele zake bado tuna madhaifu makubwa sana na mara nyingine tunashinda zile dhambi kwa Neema tuu na sio kwamba sisi ni watakatifu kihivyo au tumekamilika kivile hapanaNiliwahi kusoma mahali;Hakimu John pretence kabla hajatoa hukumu kwenye kesi alitoa hasithi fupi km ifuatatayo:MUNGU kabla hajamuumba binadamu aliuliza Haki,kweli na huruma iwapo ni vema amuumbe huyo kiumbe
HAKI akajibu la,usimuumbe mwanadamu maana atakuja kuwa mbaya sn,atatenda mambo mengi yasiyofaa na yenye kukuhasi
KWELI akajibu usimuumbe mwanadamu maana siku zake zote atakuwa ni mwenye Kusema uongo,kusengenya na kuwaza mabaya
HURUMA akajibu najua mwanadamu atakuwa ni kiumbe mwenye kila Aina ya madhaifu na mambo mengi mabaya lakini Mimi nitamlinda na kumuhurumia na mwisho siku nitamleta kwako
Nilichojifunza ni kwamba mwanadamu hata ujitahidi vipi kutotenda dhambi ni Jambo ambalo halitakuja kuwezekana.Mungu anatufahamu sn madhaifu yetu hata kabla hajatuumba
Na MUNGU ktk vipimo vyake vitatu,kipimo cha huruma kwetu ni kikubwa kuashiria anatupenda kuliko kutuwazia mabaya
Tatizo letu wanadamu tunapenda kutafuta Haki ya MUNGU Kwa matendo,lkn ukweli mchungu ni kwamba tunaishi Kwa neema Tu na tutaokolewa Kwa neema na siyo matendo yetu..Mimi sina dhambi
Kabisa mkuu,tatizo alilonalo binadamu ni kujihesabia Haki Kwa matendo ya SheriaHakika mkuu kuna mambo huwa tunayoyafanya yanayonekana kama dhambi mbele za Mungu na hutokea tuu sababu ya madhaifu ya ki uwanadamu hayo hayahesabiwi kuwa ni kosa au dhambi, bali kuna makosa tunayoyafanya kwa kudhamiria toka ndani ya mioyo yetu kwa hayo mbele za Mungu uhesabiwa kuwa ni dhambi,kwa hyo swala la kujihesabia ukamilifu au kuwa watakatifu mbele za Mungu kwa binadamu bado ndio maana hata mwenyewe anasema hakuna mwanadamu aliyekamilika mbele zake bado tuna madhaifu makubwa sana na mara nyingine tunashinda zile dhambi kwa Neema tuu na sio kwamba sisi ni watakatifu kihivyo au tumekamilika kivile hapana
Kabisa mkuu,tatizo alilonalo binadamu ni kujihesabia Haki Kwa matendo ya Sheria
Kuna zile amri kumi alizopewa Musa na MUNGU.Zile amri alimpa kwenda kuwapa wale jamaa kule chini ili ziwe Kama kioo Chao wajione ni jinsi gani walivyo dhaifu na wasivyoweza kuzitimiza zile amri hata watumie nguvu gani
Sisi wakristo wa leo atuhitaji kuzifuata zile amri maana Kwa kadili unavyozidi kujitahidi kuwa mtu wa Sheria ndvyo unavyozidi kuisogelea dhambi,badala yake KWETU AMRI ILIYO KUU ALIYOTUACHIA BWANA YESU NI UPENENDO
Hakika mkuuKabisa mkuu,tatizo alilonalo binadamu ni kujihesabia Haki Kwa matendo ya Sheria
Kuna zile amri kumi alizopewa Musa na MUNGU.Zile amri alimpa kwenda kuwapa wale jamaa kule chini ili ziwe Kama kioo Chao wajione ni jinsi gani walivyo dhaifu na wasivyoweza kuzitimiza zile amri hata watumie nguvu gani
Sisi wakristo wa leo atuhitaji kuzifuata zile amri maana Kwa kadili unavyozidi kujitahidi kuwa mtu wa Sheria ndvyo unavyozidi kuisogelea dhambi,badala yake KWETU AMRI ILIYO KUU ALIYOTUACHIA BWANA YESU NI UPENDO
Ilitokana na udanganyifu wa Shetani kwa Hawa.Dhambi ilitoka wapi wakati Mungu ni Mwema?
Dhambi ni nini?Ilitokana na udanganyifu wa Shetani kwa Hawa.
Maria ni mbegu ya adam.. swali la kuuliza mtoto anatungwa kwa mbegu ya mama au ya baba?Maria ni mbegu ya Nani