Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Mtu wa mwisho kuhusika katika mdahalo alikuwa Ben Mkapa. Miaka hiyo CCM inatoa wagombea wenye akili, uelewa na kujiamini. Baada ya hapo. Daaaaaah....
Urais umekuwa Urahis tu. Nashauri wakutanishwe hawa wagombea wafanye debate. Na hiki kipengele kilipaswa kuwekwa lazima iwe angalau midahalo 2 au 3 kabla ya kupigiwa kura siku ya mwisho.
But pia Samia anaweza fanya Mdahalo na Polepole waondoe tofauti zao na kusiwe na nia ya kumdhuru Polepole.