Erick G. Mkinga Member Joined May 19, 2011 Posts 62 Reaction score 5 Aug 3, 2011 #41 Wasiwasi wa nini CCM ndio mpango...Utasitaajabu jinsi watanzania walivyo na mapenzi na CCM..Unajua pale Ni TABORA sio moshi.
Wasiwasi wa nini CCM ndio mpango...Utasitaajabu jinsi watanzania walivyo na mapenzi na CCM..Unajua pale Ni TABORA sio moshi.
Fredrick Sanga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 3,153 Reaction score 701 Aug 3, 2011 #42 Feedback said: Duh! kumbe unasikia na mimi ninavyosikia TADEA ina wafuasi wengi mno mno tena sana. Click to expand... Nimesikia na TLP ndio inaweza kushinda.
Feedback said: Duh! kumbe unasikia na mimi ninavyosikia TADEA ina wafuasi wengi mno mno tena sana. Click to expand... Nimesikia na TLP ndio inaweza kushinda.
mzee wa mawe Senior Member Joined Aug 2, 2011 Posts 151 Reaction score 15 Aug 3, 2011 #43 Ndakilawe said: Kama huna ishu za kuandika usipende kupotosha umma. Mbona mi nipo hapa Igunga na sijaona ujio wa CUF wala fununu za kuwapo hapo.... Ujue JF tupo hata huko..koma kwa uongo wako....mdanganye mkeo, na wanao Click to expand... <br /> <br /> mh. acha uongo huko wapo wakina julius samamba toka kwimba, maole, kirungi, mh. kapasha
Ndakilawe said: Kama huna ishu za kuandika usipende kupotosha umma. Mbona mi nipo hapa Igunga na sijaona ujio wa CUF wala fununu za kuwapo hapo.... Ujue JF tupo hata huko..koma kwa uongo wako....mdanganye mkeo, na wanao Click to expand... <br /> <br /> mh. acha uongo huko wapo wakina julius samamba toka kwimba, maole, kirungi, mh. kapasha