kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Nilipoingia mimi pale sikuona tena huo ujinga wa Milambo kuja kutishia boys. Nilikuwa natamani litokee hilo...lazima ningeng'oa meno mtu wa milambo!!!hahahaha, na kazima utasema akina ni ndege gani, wala usinikumbushe, manake tunapokutana na tabora boys ni ngumi mtu, nakumbuka tuliwahi kukutana alfajiri wakati tunakimbia mchakamchaka maeneo ya mihayo, aisee ulitembezwa mkong'oto, boys haaaooooo, walisambaa walienda kukutania shuleni kwao, wale jamaa walikuwa ni wanajeshi lakini nje lege lege kabisa, tushawahi pigana kazima sec. tulikuwa na mechi kombe la Mgulunde, mipunga yote ya kazima sec ililazwa, manake mkong'oto heavy, na kuna siku pale Railway walikosea behewa letu wakapewa tabora boys, tunaingia alfajiri tunakuta boys wametulia, kibano tena mpaka wakaenda kwa station master boys wakabadilishiwa behewa, sasa nikawa najiuliza hawa ndio wanajeshi, mbona wanapigwa pigwa ovyo na watoto wa chemchem
Huyo atakuwa anataka kutoa aibu tu kwa dada yake...hovyo sana!! Ukute kisichana chenyewe kilimtega mshikaji long time, bado dada mtu naye hajielewi.Sasa miaka 18 ana bakwa nini? Na ukiangalia maelezo ya awali yanaonyesha walikua wapenzi kwa mwaka mzima. (2016/2017
Hujaacha watoto Mwanza road na mitaa ya usagara kweli wewe. Teh teh teh teh.hahahaha, na kazima utasema akina ni ndege gani, wala usinikumbushe, manake tunapokutana na tabora boys ni ngumi mtu, nakumbuka tuliwahi kukutana alfajiri wakati tunakimbia mchakamchaka maeneo ya mihayo, aisee ulitembezwa mkong'oto, boys haaaooooo, walisambaa walienda kukutania shuleni kwao, wale jamaa walikuwa ni wanajeshi lakini nje lege lege kabisa, tushawahi pigana kazima sec. tulikuwa na mechi kombe la Mgulunde, mipunga yote ya kazima sec ililazwa, manake mkong'oto heavy, na kuna siku pale Railway walikosea behewa letu wakapewa tabora boys, tunaingia alfajiri tunakuta boys wametulia, kibano tena mpaka wakaenda kwa station master boys wakabadilishiwa behewa, sasa nikawa najiuliza hawa ndio wanajeshi, mbona wanapigwa pigwa ovyo na watoto wa chemchem
What?...Team Tabora boysmilambo shule ya wanaume, tabora wale ni boys, milambo ni wanaume, hivyo ni milambo's men
Wakati mwingine tataizo huwa ni mimba, asingepata ndo huvizia dadake atoke amparamie shemeji.Maskini, si ajabu aliona niende kwa dada nikasomeshwe na hivi shemeji ni mwalimu!!!!