Wanaendelea kuwasili kwani zimekuwa sherehe za harusi waambie huku si Pemba wamekuja kwa helkopta watarudi kwa guta.viongozi wa CUF wameendelea kuwasili ambapo leo wamewasili jussa, Hamad Rashid na salum barwany mbunge wa Lindi na mbunge wa kilwa kusini said Bungara ambapo kesho atawasili Juma Duni Haji waziri wa afya wa Zanzibar kwa Helkopta kwa kuanza kufanya mikuatano 86 katika tarafa zote Nne.
Ngangari kwa kuiga bwana! Wameskia Kamanda Mbowe anatua kwa helkopta Igunga nao eti wanampeleka Jusa kwa helkopta. CDM wakisema tunafanya mikutano kwa njia ya magari nao wanatumia magari. Sijui ni lini watakuwa wabunifu wa mbinu za kampeni za uchaguzi!
wanachofanya kafu igunga ni kugawa kura tu. Lipumba kutoka tabora si tiketi ya wao kushinda igunga
Karibu wana ngangari,hapo namkubali sana juma duni haji,nikiboko kwakujenga hoja,ni kiboko yawote hapo igunga mtajionea kwa duni na jussa hapo cuf wameleta jeshi la miamvuli kuliokoa jimbo la igunga ili likae ktk mikono salama ya cuf, songambele cuf jimbo mnajichukulia kiulaini.