falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
Bado sijakupa vema,yaani unamaanisha kwamba hakuna usalama kwa maeneo uliyataja au unakataa!?Eneo zima la mkoa wa Singida si salama kivipi? Ni kwa usafiri wa usiku au mchana? au muda wote? Ina maana barabara kuu zote kutoka Dodoma kwenda Mwanza na kutoka Arusha kwenda Mwanza au Dodoma kwenda Tabora kupitia Itigi?,au ni Singida kwenda Mbeya kupitia Rungwa? Yaani njia zote za Singida si salama? Habari inajumuisha Singida yote si salama,labda eneo lililotajwa la Iguguno, si Singida yote
Hatari sana bora na wewe unafahamu kilichotokeaNasikia kichapo kilikua cha haja
Haina tofauti na vile kila kitu kinaenda kwa Rais wakati mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi na watendaji wengine husika wapo.Nini mantiki ya kuwa na RPC kama kila kitu kinaenda kwa IGP?
Nini mantiki ya kuwa na RPC kama kila kitu kinaenda kwa IGP?
Hiii kimange si ipo njia ya kuelekea Tanga kutoka Pwani, Dar es salaam ama mbona kuna mambo ya Singida tenaHabari
Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu.
Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji
Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu
Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa magari yaliyokuwa yanatumia njia hii ya kaskazini katika Kijiji cha kimange.
Sitaki kuandika mambo meeengi ila tunaosafiri usiku kipindi hiki cha sikukuu tujitahidi sana kuchukua tahadhali
Pia naomba jeshi la polis liboreshe doria zagafla gafla katika njia zote zenye historia ya uhalifu pamoja na iguguno shamba na eneo zima la mkoa wa singida bado ni changamoto sana.
Usiku mwema
Hujaeleweka kabisaHabari

Pole sana hapo mahali kunavijiji viwili yaani kimange na kwamakocho,hivi vijiji ni tatizo Sana kwa uhalifu.Sijui kwakua hujaweka wazi ilikuaje lakini mwaka huu mwezi wa nane pia maeneo hayo waliweka magogo njia kuu ya kwenda arusha wakazuia magari wakafanya uhalifu mkubwa kwenye magari.Habari
Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu.
Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji
Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu
Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa magari yaliyokuwa yanatumia njia hii ya kaskazini katika Kijiji cha kimange.
Sitaki kuandika mambo meeengi ila tunaosafiri usiku kipindi hiki cha sikukuu tujitahidi sana kuchukua tahadhali
Pia naomba jeshi la polis liboreshe doria zagafla gafla katika njia zote zenye historia ya uhalifu pamoja na iguguno shamba na eneo zima la mkoa wa singida bado ni changamoto sana.
Usiku mwema
Watakuwa wanalelewa na serikali ya CCM na si vinginevyo.Pole sana hapo mahali kunavijiji viwili yaani kimange na kwamakocho,hivi vijiji ni tatizo Sana kwa uhalifu.Sijui kwakua hujaweka wazi ilikuaje lakini mwaka huu mwezi wa nane pia maeneo hayo waliweka magogo njia kuu ya kwenda arusha wakazuia magari wakafanya uhalifu mkubwa kwenye magari.
Kimsingi polisi wa maeneo yao wamechemka kabisa.
Sirro hatolala kwa ajili ya masuala ya ccm tu , hawezi kukosa usingizi kwa ajili ya watanzania , hiyo kauli yako futaHii ni kesi kubwa ya pili kwa Simon Sirro nadhani leo hatolala....
Nimeogopa kuandika kila kitu waziwazi kutokana na Sheria za nchi hii kwa sasaPole sana hapo mahali kunavijiji viwili yaani kimange na kwamakocho,hivi vijiji ni tatizo Sana kwa uhalifu.Sijui kwakua hujaweka wazi ilikuaje lakini mwaka huu mwezi wa nane pia maeneo hayo waliweka magogo njia kuu ya kwenda arusha wakazuia magari wakafanya uhalifu mkubwa kwenye magari.