IGP salamu zako hizi

Joseverest uko wap kuna uzi mpya uku mkuu
 
Huku Kibiti kule Gerezanii mtamuua mzee wa watu hata hajala matunda ya u IGP
 
Habari hii itakua imeibiwa na huyo michuzi jr kutoka himu jf.
Nakumbuka kuna jamaa aliuweka huu uzi hapa jf leo Asubuhi kama sio jana, maana sivi nimesha pombeka ndomana sina kumbukumbu sawia.
 
Hapa dawa ni kuhamia kampuni za Mmarekani tu
 
Josevereti mzee kuona post haraka. We jamaa utakuwa ndo editor wa stories
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…