IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,353
2,846

WhatsApp Image 2017-02-04 at 1.54.11 PM.jpeg
1.PF 14
IMG_20170204_132203.jpg

IGP Ernest Mangu akiwa mubashara kupitia STAR TV, ametangaza kuwasimamisha kazi maofisa kadhaa wa Jeshi lake kupisha uchunguzi juu ya sakata la kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya.

Mbali ya kuwasimamisha kazi, IGP Ernest Mangu ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya askari waliotajwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.

Majina ya waliosimamishwa haya hapa

1. PF 14473 SACP. CHRISTOPHER FUIME

2.PF 17041 INSP. JACOB HASHIM SWAI

3.E 8431 D/SGT MOHAMEDI JUMA HAIMA

4.E 3499 D/SGT STEVEN APELESI NDASHA

5.E. 5204 D/SGT STEVEN JOHN SHAGA

6. E.5860 D/CPL DOTTO STEVEN MWANDAMBO

7. E.1090 D/CPL TAUSEN LAMECK MWAMBALANGANI

8. E.9652 D/CPL BENATUS SIMON LUHAZA

9. D.8278 D/CPL JAMES SALALA

10. E.9503 D/CPL NOEL MASHEULA MWALUKUTA

11.WP 5103 D/C GLORIA MALLYA MASSAWE

12. F 5885 D/C FADHILI NDAHANI MAZENGO​
 
Attachments

  • C3z_xN-WEAEbo3s.jpg:large.jpeg
    C3z_xN-WEAEbo3s.jpg:large.jpeg
    15.4 KB · Views: 157
Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.

Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious..

Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.

Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.

Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana.
 
Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana

Sifa kuu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi ni kutokuwa na Mihemko!

Ernest Jumbe Mangu Taaluma yake ni Polisi na Kazi yake ni Polisi

Kasomea Shahada ya Police Science Nchini Marekani anajua athari ya Mikurupuko kwny Masuala ya Upepelezi na Ulinzi kwa Ujumla!

Kumfananisha IGP na Makonda ni ukosefu wa adabu!

Usifananishe na Wanasiasa!
 
Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana
Unataka kusema Makonda awe Promoted kuwa IGP sio ?
 
Sifa kuu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi ni kutokuwa na Mihemko!

Usifananishe na Wanasiasa!
Ni kweli Lakini ukali kidogo unasaidia mfano JUZI makonda kaongea tu kwamba wauza madawa watasakwa Sana nimepita Jana ubungo pale kwenye kibanda cha pipi ambacho Kuna ma dealer wanawauzia vijana wa darajani nikakuta hawapo ni kama Ile KAULI iliwashtua.. Sasa hata ukiangalia facial expression za mangu unaona kamanda yupo kama anatoa taarifa fulani wakati Wao wako na jukumu LA kuzidi kukemea.. Kwa Sasa Hali iliyopo ni kama operation zitafuata so alitakiwa aonyeshe hisia fulani mpka za kufanya hata sisi raia tujue jeshi liko upande wetu na ni watetezi wetu hasa Zama hizi ambazo jeshi lina Skendo kias imani Kwa jeshi ilipungua. Ukali against Hawa ma dealer unasaidia Sana unatufanya tuone kweli jeshi limedhamiria kiasi taarifa hatuataogopa kuzi PELEKA police.. Tunayo mengi tunajua
 
Kwa hiyo Wewe Alama ya Kutambua Vita ya Dawa za kulevya imepamba Moto ni kutokuta Dealer kwny hicho kibanda cha Pipi Ubungo Darajani?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu, amewasimamisha kazi askari 12 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.
@ HT Millardayo
 
Kwahiyo hii nayo ni Kiki?
Yes sir! Huwezi kumaliza vita ya madawa kwa kupambana na donkeys na manyoka! Pambana na ma-don wenyewe. Ukikamata donkey, don atatafuta donkey mwingine. Ukikamata nyoka, manyoka wengine watatokea!!
Kamata ma-don ili kuvunja chain ya donkeys na manyoka. It is that simple. Lakini, je, ataweza kukamata ma-don walio kwenye siasa?
 
Nimeskia alivyokuwa akisema amenikera kukwepa swali LA Mwandishi kaulizwa yale maeneo wanayotundika viatu yanasemekana Kuna madawa ETI yeye anamwambia Mwandishi akachunguze hio story.. Ushauri wangu naona huyu IGP abadilike ni mpole Sana Hawez kwenda na KASI ninayoitegemea.. MFANO mzuri angalia makonda anavyoongea unaona kabisa jamaa yupo serious.. Hii nchi tumefika sehemu kila mtu abadilike siasa ziwekwe pembeni Sasa mkuu wa jeshi hutakiwi kuogopa ogopa hivyo.. Anaulizwa ETI wakina wema bado wapo ndani yeye anajibu ETI hayo mambo ni siri Aah wapi Kwa akili ya kawaida makonda angesema tu ukweli Hali ilipofikia.. Vitu vingine wasiogope wanatakiwa wajue watanzania tunataka habari.. Magufuli na makonda na pole pole wanapatia Sana
IGP ni Kikwete type he is more royal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom