IGP Mangu alifumua jeshi la Polisi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
535304_10207039948889913_3085226774092285505_n.jpg
 
Hivi unafanyaje mabadiliko ya kumhamisha mtu fulani kutoka sehemu "A" na kumpeleka "sehemu "B" ? Kwamba Kamanda X aliyekuwa mkoa wa Mwanza kwa vile haendani na kasi ya Magufuli unamuhamishia Kagera swali ni kwani akiwa Kagera ndo ataendana na kasi ya Magufuli? Au kasi ya Magu ni kwa baadhi ya mikoa ?
 
Yeye angeenda pale chuoni moshi akachukua damu changa na kuwapa ukamishina faster faster na pia uRPC
 
Yeye angeenda pale chuoni moshi akachukua damu changa na kuwapa ukamishina faster faster na pia uRPC
Hao wangekuwa wanahamu ya "kujua kilichomo ndani" hivyo
wangeweza kumuingiza choo cha kike fasta sana.
 
Cdhani km magu anafaa kwepo mpka leo hii nafikiri pombe atamwondoa mda si mrefu mimi cioni uwajibikaji wake huyu
 
Kupangua Itoshelezi kwani tatizo la police tanzania ni rushwa. Rushwa inayofanya na police ya bandani ndogo sana. Hawa jamaa wanatumia power walizopewa kujinufaisha. Lakini wanamishara midogo,vitendea kazi duni na usimamizi mbaya.
IGP Mangu unahitaji kureform jeshi lako liende na kasi ya mabadiliko
 
Hata wawabadilishaje ujabazi wa kuua watu na kuiba pesa zao ndio wengi tunataka kuona unakwisha.

Na hizo benki wafanyakazi waache kukaa na simu kaunta au benki zipigwe faini wateja wakitoka huko na kuibiwa hadi wa benki wezi wanyooke
 
Nilifurahi Chagonja kutolewa pale maana alikua na kelele.bila utekelezaji.alikua anapenda sifa
 
Back
Top Bottom