screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 May 23, 2018 #41 Jackal said: Jamaa anaweza ishi maisha marefu .Pamoja na yote anarizika sana na maisha yake.Halafu ni Care free.Watu wa design hiyo huwa wanaishi sana! Click to expand... Kwakweli, I wish namimi ningekuwa na moyo kama wake. Yaani unaweza kumshangaa anawezaje kufanya kitu ambacho kila mtu anakiona cha kipumbavu kwa umri wake ila yeye anaona kawaida tu na wala hajali[emoji16]
Jackal said: Jamaa anaweza ishi maisha marefu .Pamoja na yote anarizika sana na maisha yake.Halafu ni Care free.Watu wa design hiyo huwa wanaishi sana! Click to expand... Kwakweli, I wish namimi ningekuwa na moyo kama wake. Yaani unaweza kumshangaa anawezaje kufanya kitu ambacho kila mtu anakiona cha kipumbavu kwa umri wake ila yeye anaona kawaida tu na wala hajali[emoji16]
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,081 Reaction score 72,481 May 23, 2018 #42 Wema akiitwa kwenye sherehe za wcb anakuwa wa kwanza ana kiherehere kweli