Iftar mubashara.

July 2012, nilipewa kitabu Unguja nikashindwa kusoma, hicho kinavaliwa kukiwa na ubeche tu.
Ahahahahhaaa sikukuelewa kuhusu kitabu, wewe aliyekwambia ukae safu ya mbele nani? Siku nyingine kuwa karibu na mwisho, ukipewa tena kitabu pokea pale pale mpe jirani mwambie "Shekh tafadhwali huku unambwagia miguuni maana anaweza kukikataa ikala kwako.
 
Kuna mtoto mmoja wa Kizenj alinizingua bado kidogo nisilimu, nimeingia Zenj kichwa kichwa macho juu, kwa nininisipewe kitabu.

Nikawaambia mimi Komredi, kusoma labda Kirusi, Kirabu kituo cha polisi.

Wakacheka sana.
 
Usinivunje mbafu yaani [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yupo kakaakimya anaangalia mchezo wa Magufuli unavyoenda tu.

Serikali ya Magufuliilimkosea heshimavibaya sana na kumfungia milango ya ofisi yake, akawa mdogo mwenyewe.
Duh! Kumbe ndo maana, lkn bado ni mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…