Ifike mahali ukubali ukweli tu

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Kutokana na wimbi hili kuwa kubwa la hawa binadamu ambao wakiulizwa maswali kuwa kama wanawapenzi .....?


Hili jibu la kuwa wapo single na wanafuraha ni Uongo mtupu. Eti "Single and happy" [emoji23][emoji23]

Ifike sehem tu mkubali ukweli kuwa hampendwi na muache janja janja ya nyani.
 
Na pia wakisema wako katika " relationship and happy" utasikia uongoo uongo hiyo ni uongo bwanaaa au mtacomment mtaachana tu
Jamani kila mtu ashinde mechi zake
Jibu Liwe ni single hiyo happy sio Part ya swali
 
Hakuna raha yoyote ni mateso
 
Na pia wakisema wako katika " relationship and happy" utasikia uongoo uongo hiyo ni uongo bwanaaa au mtacomment mtaachana tu
Jamani kila mtu ashinde mechi zake
🤐
 
Single and happy[emoji23] inategemea na mateso aliyoyapata kwenye mahusiano aliyotoka.
Ila hio single and happy n Kwa muda mchache tu akiiendeleza sana anatupanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…