Jakaya ni mtu na nusu, ila alichokufanyia 2015 sio poa kabisa.
Wakati wa JK hakukuwa na ufisadi mwingi kuliko serikali ya BWM, ila tu JK aliruhusu uhuru wa maoni, Aliruhusu demokrasia na upinzani ukawa huru kumsema utakavyo, na aliruhusu kuwepo kwa bunge lenye meno ndiyo maana ulisikia habari za ufisadi . Kama angetaka na yeye angedhibiti vyombo vya habari, angeliburuza bunge, na angepoteza wanaompinga waziwazi hayo mambo ya ufisadi usingeyasikia.
Nikukumbushe tu ufisadi wa EPA, Meremeta, Kuuza nyumba za serikali bei chee, Mikataba mibovu ya madini, Rada, Ndege ya Rais, Kujimilikisha mgodi wa Kiwira, Deep green, Ufisadi wote huo ni wa kipindi cha BWM
Hawajitambui wala hawajui watakaloLakini Katibu wetu Mkuu Kamanda Mnyika aliweka bayana JK alikuwa Rais dhaifu.Au ndiyo tuseme tumebadili gia angani tena?
Kila mtu ana mazuri na mabaya yake, kwangu mie JK alikua na mazuri mengi.Kwa hiyo sasa hivi Jakaya siyo dhaifu tena? Nakumbuka hii kauli ilitoka kwa Mnyika ambaye iwa sasa ndiyo K/Mkuu wa Chama chetu
Alipotuletea Chuma Akaenda Msoga Kulala ππππJakaya ni mtu na nusu, ila alichokufanyia 2015 sio poa kabisa.
Hizo pesa ni za bwawa la Rufigi na SGR. Hawataki kusema ukweli sijui wanaogopa nini!Kodi ya miamala imewekwa mahsusi kwa ajili ya kujenga barabara vijijini.
Cha kujiuliza wakati wa Mkapa na JK barabara hizo zilikuwa hazijengwi? Hizi ni fursa za upigaji naona.