Ifike mahali serikali ione aibu!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
serikali ya ccm inakosa kujenga hoja zenye ushirikiano wanasisitiza kutunza mazingira kwa kuzuia kuokota kuni na kupiga marufuku uchomaji wa mkaa wakati huohuo imeweka kodi kubwa sana kwenye majiko ya gesi na bili kubwa sana kwenye umeme hata kama ungetumia silaha za kivita kuzuia uchomaji wa mkaa kama hauta rahisisha nishati mbadala utafanya kazi bure
 
Back
Top Bottom