nahisi anamaanisha zile JAMII YA TECNOHii ni kwa simu za sh ngapi?
Kajarb mkuu na ulete marejeshoHakuna App inayoweza kufanya hizo vitu kwa kiwango pasipo kuroot simu,
Alafu hizo setting zinayeyuka ukifanya hard reset,
Nadhani kitu ambacho hakirudishiki kwenye android ni kufuta mafile( ya system) mfano folder la Contacts N.K,
na sehemu nyengine ni pale unapotaka kubadil ROM,
ila nadhani vingine vyote ni uongo
Kajaribu kwanza alafu leta marejeshoHakuna App inayoweza kufanya hizo vitu kwa kiwango pasipo kuroot simu,