Ifanye simu yako iwe ya maajabu hapa duniani

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Helow greaters, huwa watu wanaweka misaada mingi humu, mi nae cna uchoyo, kwa wale wenye cm download browser inaitwa UCbrowser...ukiisha iweka fungua homepage, then nyuma ya chata ya facebook, kuna kiboma, kifungue, then click top, ebwanae kuna application nzuri cjui niseme! utadownload, leta majibu.
 
pwaaa!
 
Ucweb wamenzisha patnership na wamiliki wa website kila utakapoitangaza ucweb kwenye website yako wanakupa point na ukifikisha point 1000 na wao ucweb wanakulipa kwa kuitangaza website yako kwenye application zao.

So kaka ustegemee website uloclick wewe eti na mimi ntaikuta pale pale zipo website zaidi ya elf 1000 ni vizuri copy hio link then ipaste hapa kila mtu afaidike
 
Helow greaters, huwa watu wanaweka misaada mingi humu, mi nae cna uchoyo, kwa wale wenye cm download browser inaitwa UCbrowser...ukiisha iweka fungua homepage, then nyuma ya chata ya facebook, kuna kiboma, kifungue, then click top, ebwanae kuna application nzuri cjui niseme! utadownload, leta majibu.

Kaka mi naona getjar. Na lazma ujue inategemea na device ya mtu coz uc ya kwenye java haiendani na uc ya kwenye symbian ama androids. Tuwekee link.
 
Jamani simu yangu ni nokia 6300
mbona nikitaka kudownload ucweb inanikatalia.inadai kuwa invalid certficate,tatizo ni nini jamani?
 
Back
Top Bottom