Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Ujinga mzigo sana,Yusuf Ali hana tafsiri ya Qur'aan bali Yusuf Ali ana tarjama ya Qur'aan.

Kuna aina mbili tu za tafsiri :

1. Tafsiri kwa sanadi kwa maada ya kurejea asili ya tafsiri Qur'aan kwa Qur'aan au kwa Hadithi.
2. Kuna Tafsiri ya Qur'aan kwa Rai.

Bora hata kidogo ungesema una Tafsiri ya Qur'aan ya Ibn Kathiir iliyotarujumiwa kwa Kiingereza hapo sawa au Tafsiir al Qurtubiy,wewe unaweza kusema hata zile tarjama za kiswahili za Qur'aan kama ile ya Sheikh Abdullah Saleh al Farsy nayo ni tafsiri au ile tarjama ya Sheikh Ali Muhsin al Bar'waan.

Ndio maana hata zile unazoziita "Contradictions" katika Qur'aan ulizo zicopy kutoka mtandaoni ukiulizwa maswali kuhus usemazo "Contradictions" huwa hujibu sababu hukuzisoma kiundani zaidi ya ku copy na ku paste ndio maana nyote mnaonekana vituko na waongo wakubwa wazushi.

Hata hiyo tarjama ya Yusuf Ali utakuwa unajau jina tu ila nakala sidhani kama unayo,na hii ni dhana ghalibu kutokana na kukimbia kwako maswali juu ya mjadala wa "Contradictios" katika Qur'aan.

Acha usanii,Qur'aan huijui na hujawahi kuijua. Huu ndio ukweli,na huwezi kuijadili Qur'aan zaidi ya ku copy na ku paste mbl ya uzushi dhidi ya Qur'aan na kutokomea.

Qur'aan kuijua unatakiwa uache kazi ufanye kazi.

Aya za mwanzo katika sura gani ? Inaonekana hata maana ya aya hujui wala sura,mwenye kuijua Qur'aan hawezi kusema "...katika aya za mwanzni tu....." hii kauli anaisema mjinga wa Qur'aan asie ijua kama wewe. Mwenye kuijua Qur'aan husema hivi "Aya za mwanzo katika sura fulani au aya za mwisho katika sura fulani"
Kwa mujibu wa Allah ata binadamu awe mwizi , mbakaji , mtenda zambi za kila aina , yeye atakuingiza kwenye bikra 72 na ata uwe mwema na unamfuata yeye atakupeleka motoni na amesema hata jali
 
Mungu aliuliwa na NYONGO YA mamba afu akapigiliwa Misumari ya kenchi then akabanikwa juani kwa mbao zilizo kaa kama jumlisha then wakamchoma na spear of destiny
Zile damu zilizotoka zkaja kusafisha dhambizetu..
MUNGU ALIEUMBA ULIMWENGU HAYUPO HIVI AISEE.
mnamtafsiri vibaya na ndo mana Kiranga anasema hayo aliyoyasema.
Kiranga ingia Google playstore andika quran swahili then download
Afu tafuta (ndani) yaqurani suratul naaba..kwa akili ya kujaji vitu ulionayo utaondoka na kitu.
Usihukumu dini/imani ya watu wengine kwa kutumia Imani yako.

Kila Imani/dini ina misingi yake.
 
Hujapata tafsiri sahihi! Aya inamaanisha kwamba watu wamekuwa wajeuri na wakorofi na wamejifanya wenyewe deaf (sum'un), dumb (bukm'un), blind (um'yun) na kamwe hawataamini na sio AllahSWT anayefanya wawe deaf, dumb, and blind ili wasiamini!
Miracle of Interpretation ( In David Wood's Voice )
 
Pengo ninani kwenye mambo ya ulimwengu wa roho??
Kiongozi mkuu wa kanisa Kuu la wakristo wa Tanzania .
Wewe km ni msabato au pentecostal lzm uwe chini ya amri ya Pengo utake ustake.

Ndio muwakilishi wa PAPA Tanzania
Akisema kaa chini huna ujanja.

Akiamua kukubatiza kavu kavu huna namna
 
Umeongea kama unatumia matako kuwaza kenge maji wewe umbwa
 
Teh teh teh.
Watoto wa mzazi mmoja utamjua tu. Hana hoja lkn matusi kabati zima.
We sikulaumu manake malezi ya baba hujapata.
Muulize mama Mwamaleki babako ni nani! Akikupa jibu njoo nikupe ushauri wa bure bi mkubwa.
Ahsanta
 
Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....

Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana

Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana

Muwe na mchana Mwema
Nasikitika kusema umeandika uongo na watu wengi kwa kutopenda kuchambua kwa umakini umewapotosha.

Sifongo = Sponge

Siki - Vinegar

Na vinegar inatengenezwa kutoka katika matunda kama zabibu,apple n.k

Sivyo kama usemavyo eti sumu sijui ya mamba ama mifupa ya nyoka.
 
Kumbe Mungu akila sumu anakufa?
 
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu
Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....

Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana

Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana

Muwe na mchana Mwema

Smith's Bible Dictionary - Sponge

Sponge, [N] [E]
a soft, porous marine substance. Sponges were for a long time supposed to be plants, but are now considered by the best naturalists to belong to the animal kingdom. Sponge is mentioned only in the New Testament. ( Matthew 27:48 ; Mark 15:36 ; John 19:29 ) The commercial value of the sponge was known from very early times; and although there appears to be no notice of it in the Old Testament, yet it is probable that it was used by the ancient Hebrews, who could readily have obtained it good from the Mediterranean, where it was principally found.
 
Nasikitika kusema umeandika uongo na watu wengi kwa kutopenda kuchambua kwa umakini umewapotosha.

Sifongo = Sponge

Siki - Vinegar

Na vinegar inatengenezwa kutoka katika matunda kama zabibu,apple n.k

Sivyo kama usemavyo eti sumu sijui ya mamba ama mifupa ya nyoka.
Watu bado wajinga sana hasa huku Afrika wanalishwa matango pori sana,
nimeshangaa mno hakuna aliyeshtuka mpaka naona comment yako nilitaka nijibu hivi hivi
asante kwa kuniwahi!
 
Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....

Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana

Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana

Muwe na mchana Mwema
1. Kwanza kuna kitu umechanganya , Yesu alipewa wine mara mbili!!!Wine ya kwanza ilichangwa na sumu (gall) hii alionja na kukataa kunywa , lengo la hii wine yenye Sumu ilikuwa kumfanya afe bila kupata maumivu makali, lakini aligoma maana alitaka alipe dhambi kwa maumivu makali, utasoma mathew 27: 33, hii wine anaonekana kupewa kabla ya kupigiliwa msalabani

2. Pili, baadae alipewa wine ya pili (sour wine ) , wine vinegar ...na aliweza kuionja inawezekana akawa alikunywa lakini haikusemwa hivyo, Hapa alisema kwamba ana kiu (na alisha ona kwamba Yametimia, Ndipo alipo anza kuongea msalabani, Eloi Eloi lama saba ktani) WINE ya pILI haikuwa na sumu ilikuwa na lengo la kumfanye achelewe kufa yaani aendelee kuteseka SOMA MATHEW 27:48 , katika MAADA YAKO umeongelea wine ya Pili ambaYO haikuwa na sumu ....ila wine Yenye sumu hujasema kwamba Yesu aliikataa kunywa unapingana na biblia mathew 27:33 hakikisha kwa kusoma kwanza ili uone ushuhudie kwamba upo kinyume na biblia

ASANTE KWA MAADA
 
Nukuu kutoka katika injili ya Yohana inasema.

YOHANA 19:

28 “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu.

29 Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani.

30 Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake”
ulichonifurahisha,kwenye coment yako,neno mungu,herufi m,umeweka herufi kubwa,kwetu ina maana sana ili kumtofautisha na wengine,yeye tu ndo huanza na herufi kubwa.waliobakia wote ni ndogo..
Sifongo ni kiswahili cha neno la kiingereza “sponge” Sifongo iliyotumiwa na maaskari wa Kirumi ilikuwa ni muendelezo wa dhihaka kwake katika ulimwengu wa kimwili. Ukumbuke pia ndiyo hawa hawa hapo awali walimvisha taji la miba kichwani mwake, na mavazi ya dhihaka ya kifalme. Tafsiri iliyopo nyuma ya jambo hili katika ulimwengu wa kiroho lilikuwa ni kubwa mno.

Siki ni kiungo ambacho kinakuwa katika kimiminika, kinachotengenezwa kwa kuchachushwa kama vile zinavyotengenezwa pombe
Na kwa asili kina uchungu mwingi mno na ukakasi tele. Hakifai kabisa kuwekwa katika kinywa cha mwanadamu kutokana na uchungu wake. Wale maaskari walifanya vile ili mwili wa Bwana Yesu ukaukiwe maji na kuharakisha kupelekea kifo chake kwa sababu walimsikia akisema naona kiu.

Jambo hili zima katika ulimwengu wa kimwili na kiroho lilikuwa na maana kubwa mno ili mwili wa Kristo utumike kama dhabihu kuu na takatifu kwa ajili ya kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu, kufanyika kwa Agano Jipya kati ya Mungu na wanadamu, na pia kufanya Kristo kuwa ndiye Mfalme na Kuhani Mkuu wa milele, yaani ndiye Mungu na MwanaKondoo.
11526137-662x1024.jpg
Screenshot_20230726-044551.jpg
 
Back
Top Bottom