Nawauliza
Huyo Maria ndio nani ?
Ambaye Sanamu zake zimetamalaki Makanisani na nje yake?
Hamwoni kuwa mnaabudu miungu wengine?
'''''''''''''''''
Maana Mama wa Yesu haitwi Maria.
Luka 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
Naomba jibu
Huyo Maria ndio Nani ?
Hamwoni kuwa mnakiomba kiumbe kisicho fahamika ?
Fungueni akili zenu