Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,252
- 9,305
Sara ndio nini ewe kilazza😄😄😄Wadau hamjamboni nyote?
Hii ndiyo salaam Bora kabisa duniani
Karibuni tujifunze
Salamu Maria
Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
Ubora wake nini?Wadau hamjamboni nyote?
Hii ndiyo salaam Bora kabisa duniani
Karibuni tujifunze
Salamu Maria
Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
🤣🤣🤣🤣🙌Naona jf inatoboa mbali hadi mafundisho ya kipaimara ni humu humu, ubarikio lini mkuu?
Au ni uongo😂🤣🤣🤣🤣🙌
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.Hii ipo sehemu gani kwenye biblia?
hiyo ni sala (sara) ya kipagani kabisaSALA bora kabisa duniani ndiyo hiyo:
Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
Karibuni tujifunze pamoja
Mariamu alipewa hiyo salam akashangaa ni salam gani, malaika akasema amepewa neema na Mungu, then hiyo ya kusema maria “mama wa Mungu” mmeitoa wapi? Hiyo ya kuwaombea nayo?28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Luka 1:28
29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Luka 1:29
30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Luka 1:30
42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Luka 1:42
48 Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Luka 1:48
SalaSara ndio nini ewe kilazza😄😄😄
Yesu ni Mungu hivyo wako sahihiMariamu alipewa hiyo salam akashangaa ni salam gani, malaika akasema amepewa neema na Mungu, then hiyo ya kusema maria “mama wa Mungu” mmeitoa wapi? Hiyo ya kuwaombea nayo?
Pole sanahiyo ni sala (sara) ya kipagani kabisa